Recent content by mbelwa6

  1. M

    Kwanini mbwa hugongwa sana na magari barabarani?

    Kuna story ya mbuzi na dog huwa mbwa amesahau chenji ndo mana anaenda road kumdai konda that why wanagongwa sana
  2. M

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Nasubr epsod ya 15!
  3. M

    Orodha ya vitabu nilivyosoma mwaka huu 2020

    Nitumie soft copy na mm nisome mdomdo!
  4. M

    Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

    Picha tafadhali man kondo napajua vizuri. Hata picha ya kuibia kwa mbaali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mafuta mazuri kwa wanaume ni yapi?

    Tumia family care yanauzwa jero tu. Zingine honga na kutimiza majukumu yako. Unapaka rotion umekua shoga! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Mwanamme mwenye akili hawezi kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja

    Tujue umri wako huenda tunaongea na form two ambae yupo likizo ya korona. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

    Yan huwa ni koshoo off tu mfano x wako anakuonesha jamaa wake au huna mtt unakuta kila mtu kaweka mtt. Jaman huo ni mtandao wako sio wa mtoto! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mwezi haujaisha coz february ilikua na siku 29 Hivyo leo ni tar 21 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Tabia gani za wanawake huwa zinakushangaza sana?

    Mh Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom