Recent content by Mbelewele

  1. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Money is a reward after solving somebody's problem. Sasa wewe nani uombe tu pesa upewe unconditionally. Ukiwa na shida na pesa fanya kazi upate zako, ukipenda kitonga no way out lazima uliwe nundu!!.
  2. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Muda Mwingine Ni Bora kudeti na demu wa Kawaida sura ya Baba ili upate Muda mzuri wa kujenga Future Kama kijana

    Mara nyingi hawa wenye sura ya baba hawachelewi kushika mimba. Kuwa makini nao pia
  3. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

    Hii kitalam inaitwa REGISTRATION FEE
  4. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Aliyetoka Advance anasoma Diploma level kwa miaka mingapi?

    programs zote za afya diploma husomwa kwa miaka mitatu, haijalishi ni form four au six
  5. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwenye harusi kubwa huwa havikosekani viharusi vidogo vidogo. Ni kawaida sana kuliwa kimahisahara
  6. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

    Hakuna mwanaume anayeweza kusamehe na kuvumilia huo upuuzi. Labda kama sina malengo naye , nina nia ya kupiga tu na kupita hivi
  7. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa kama hizi degree na mwaka huu zimepewa wanafunzi

    Kwa uuguzi na Ukunga nadhani haupo sawa. Graduate wa uuguzi na Ukunga (degree) nchi nzima ambao hawapo kwenye mfumo rasmi wa ajira hawazidi 2000. Lakini wanaupiga mwingi katika hospital za private na vyuo vya kati kama wakufunzi. Wengine wanaenda NGOs kibao, wapo MDH, mkapa foundation, IHI na...
  8. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wengi hawataripoti vyuoni kwa sababu hizi

    Wanachuo wengi sana wataripoti mkuu ila wataishi maisha magumu sana katika kipindi chote cha maisha ya chuo. Dada zetu watakuwa katika kipindi kigumu chenye ushawishi mkubwa kutokana na njaa. Tutegemee wanachuo kuishi kwa pasi ndefu kwa sana!
  9. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Msc in Data Science vs Msc in Mathematical Modelling

    Ningekushauri usome data science. Data science ina future nzuri sana maana kwa sasa na siku zijazo dunia itakumbua na "massive creation of data" Hivyo data managers watahitajika kwa kiasi kikubwa. Unaweza kuwa data analyst katika field tofauti tofauti kama afya, projects mbali mbal, viwanda etc...
  10. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Utatuzi: Hii Changamoto ya Wanafunzi wa Afya (M.D) kukosa Ada ni Mfumo au ndiyo imepangwa iwe hivyo.

    Unahitaji kushukuru kwa ulichokipata. Kozi za afya, sayansi na zinazofanana na hizo zilipewa priority wakati uhitaji ulikuwa mkubwa na watu walikuwa wachache. Kwa sasa wahitimu wa kozi hizo ni wengi mtaani na wanaohitaji mkopo ni wengi zaidi.
  11. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Serikali mko kimya nini hatima ya mrundikano wa wahitimu wa vyuo na wako mtaani?

    Kazi kubwa ya serikali ni kukusanya kodi. Haiwezi kuajili kila mtu, hali ya ukosefu wa ajira ipo kila sehemu duniani ingawa tofauti ni ukubwa wa tatizo. Hali ya uchumi wa taifa letu kwa sasa ni mbaya, hivyo nafasi za ajira ni chache sana ukilinganisha na uhitaji. Tunahitaji kukubaliana na hali...
  12. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

    Nakushauri umtafutie kazi ya kufanya ili imuweke busy kiasi. Nadhani anapata muda na nguvu za kufanya hayo yote kwakuwa mara nyingi anakuwa idle. Mtafutie sehemu atayotumia muda wake na energy anayotumia kukuletea usumbufu
  13. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kwenda Dodoma interview PSRS tupeane ramani mahali pa kufikia...

    Ukishuka stendi ya mkoa, panda daladala hapo stendi zinazoelekea sabasaba. Ukifika saba saba panda daladala zinazoenda udom ushukie MAKULU, ulale hapo makulu. Makulu ni karibu sana na udom, kwa boda boda ni 2000. Usafiri wa daladala asubuhi sana ni shida hasa kipindi hiki cha likizo. Unaweza pia...
  14. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Kwanini degree ya MD or BVM hazina makundi?

    Hii kitu IPO sana pale MUHAS, kwa taaluma zote ambazo wataalamu watahusika na kuhudumia mgonjwa moja kwa moja kama DDS, nursing, MD na Pharmacy hakuna classification. Hii ni kwa lengo LA kuondoa majigambo/kujikweza kwa baadhi ya watu kwakuwa wanaufaulu mkubwa zaidi ya wengine!!.
  15. Mbelewele

    JamiiForums Tanzania Masters of Public Health

    MPH Mara nyingi huwa na soko kubwa ktk NGOs na taasisi mbalimbali kama una background ya afya katika shahada ya kwanza. Ila kwa biochemistry kwa nchi hii sana sana inahitajika kwa waalimu wa vyuo!!.
Back
Top Bottom