Kwanini degree ya MD or BVM hazina makundi?

Fiziolojia

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
815
Reaction score
1,085
Wakuu habari za jioni.

Naomba kujuzwa ni kwanini Shahada ya Utabibu/Medical Doctor (MD) au Shahada ya Utabibu wa Wanyama/ Bachelor of Beterinary Science (BVM) hazijaweka kwenye makundi (e.g. first class or upper second class,etc) kama zinavyowekwa shahada nyingine?
 
Tuanze Kwanza kwa kuuliza. Mfano ukaenda hospitali unaumwa kisha ukaambiwa daktari anayetakiwa kukutibu ana GPA ya 3.1, utakubali kutibiwa nae ?
 
Hii ndiyo sababu ya msingi. Ukiweka klasses basi tutatundika degree zetu ukutani. Unatakiwa ule mkasi sasa Dr. wako Masiya kapiga GPA 2.0 na hapo hapo yupo Dr. Kipanga kapiga 4.5 mambo yatakuwaje. Lakinivyuo vingine vinatumia GPA bali haziwekwi kwenye vyeti na hutumika kwa kuamua academic issues tu kwa kutumia transcript.
Nakumbuka enzi hizo rafiki yangu alipo omba transcript chuo alichosomea walimwambia hawawezi kumpa yeye transcript baliawatajie inatakiwa wapi na wao wenyewe wataipeleka. Hii ina maanisha huwezi kuwatambia wengine. Sijui kama bado wana msimamo kama huo siku hiz
i.
Wakuu habari za jioni.

Naomba kujuzwa ni kwanini Shahada ya Utabibu/Medical Doctor (MD) au Shahada ya Utabibu wa Wanyama/ Bachelor of Beterinary Science (BVM) hazijaweka kwenye makundi (e.g. first class or upper second class,etc) kama zinavyowekwa shahada nyingine?
 
Mnakuwa consider wote mpo sawa hakuna aliemzidi mwengine
Kwa kiwango hicho cha elimu yenu
Ooh,,
Lakini in reality wahitimu wanakuwa wamefaulu sawa kweli!?.
Unataka kuniambia hakuna best students!?
 
Tuanze Kwanza kwa kuuliza. Mfano ukaenda hospitali unaumwa kisha ukaambiwa daktari anayetakiwa kukutibu ana GPA ya 3.1, utakubali kutibiwa nae ?
Mbona watu wa maabara, wauguzi, na wafamasia ambao pia wana deal directly na afya mwanadamu digrii zao zina madaraja!??

Bado hujanishawishi.
 
I've a degree in Engineering, so I know nothing about MD. Chochote kilichopo kwenye maandishi yangu ni mawazo yangu tu, it doesn't necessarily have to be correct reason to the posed question.
 
Ooh,,
Lakini in reality wahitimu wanakuwa wamefaulu sawa kweli!?.
Unataka kuniambia hakuna best students!?
In reality ni kwel hamuwez mkawa sawa ila ndo hivyo kwa hizo degree wote mnakuwa considered mnauelewa sawa
 
Hii kitu IPO sana pale MUHAS, kwa taaluma zote ambazo wataalamu watahusika na kuhudumia mgonjwa moja kwa moja kama DDS, nursing, MD na Pharmacy hakuna classification. Hii ni kwa lengo LA kuondoa majigambo/kujikweza kwa baadhi ya watu kwakuwa wanaufaulu mkubwa zaidi ya wengine!!.
 
Back
Top Bottom