Recent content by Mbejhe1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

    Endeleeni kutanua ni Wakati wenu. CHADEMA Hamnazo kama Malaya. Mmesahau Nyie kutwa mlikuwa mnamtukana Mzee Kikwete kuwa Anasafiri saaaana, ametuingiza hasara, mlisema anabadilisha Madini na neti za kuzuia Mbu n.k. So What I seee, Endeleeni tuuuuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Sasa Muroto apelekwe Korokoroni aeleze ni nani alimpiga risasi Tundu Lissu

    Wapuuzi Wakubwa nyie. Risasi Mpige wenyewe na Maigizo muyafanye wenyewe. Aliyempiga Risasi ni Yule ambaye hataki kuguswa kwenye nafasi ya Mwenyekiti. Naona hapo patakuwa pameeeleweka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna uwezekano (kifedha) Kitengo cha CID kiwe taasisi kamili inayojitegemea

    Kwani Job Description iweje. May be lakini naona ni ngumu. Ni sawa na useme unga uive peke yake na maji yaive peke yake bila kuvichanganya. Cz CID ni Polisi huyohuyo. Anauwezo wa kukamata, Kuhoji, Kupekua, kupeleleza. Naona sijui umewaza Jambo gani nje ya Boksi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Una Matatizo ya kufikilia, utakuwa wewe si Mtanzania. Watanzania hatuna hizo biashara za Ukabila/Ukanda labda huko kwenu ambako mnetengeneza Makabila kimkakati kama huko Kenya, Burundi, Rwanda, N.k. Cc Watanzania tuliisha ikataa Dhana ya kujadili Makabila na nina uhakika hata viongozi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuupinga Muungano wa Tanzania

    Acha Ushamba wewe. Mbona unawachongea Mashehe. Hakuna nchi ambayo chanzo chake siyo Muungano
  6. M

    JamiiForums Tanzania Cuthbert Swai ndani ya mtego wa Lema na Mbowe

    Mimi naona anatajwa yeye kwasababu ya kuwa Hai na Mwenyekiti naye ni wa Hai so Everything is Possible. Na Kingine anaweza kulalamikiwa sana kutokana na Malalamiko dhidi yake kuratibiwa kwa kiwango kikubwa na Mapedejeee wa Hai wale waliokuwa wakifaidika moja kwa moja na uwepo wa Mwenyekiti...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

    Hili ni Janga la Dunia na si Janga la Tanzania pekee. So wataalam wa Afya waendelee kuwa walinzi wazuri wa Afya za Watanzania. Watalii tunawahitaji sana ila Covid 19 hatuiitaki.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

    Mburula wewe. Hivi unadhani tumefurahi kuibiwa Charamila wetu. Ila Sema ametifundisha kuwa uongozi pia ni kufurahi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

    🤯🤯🤯🤯
  10. M

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

    Sawa tunawasubiria waje
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kandarasi ya kulinda legacy, wafadhili wamechemsha?

    Kwani kwa akili zenu propaganda zenu za kumchafua Hayati mnadhani zitafanikiwa. Ukitakujus zimefeli nenda saizi kawanyanyase wajasiliamali wadogo, Wachimbaji wadogo, au kawatapeli wanyonge uone kama hautatandikwa viboko mpaka ujute kuzaliwa. Ninachomaanisha tutamkumbuka kwa kutufumbua macho...
Back
Top Bottom