Wahuni ndio kina nani hao weweee?Dogo muache Afande Muroto ale pensheni yale, huyu alifanikiwa sana kudhibiti wahuni kwa ile kauli yake "mtapigwa,mtachakaa"
Wahuni ndio kina nani hao weweee?Dogo muache Afande Muroto ale pensheni yale, huyu alifanikiwa sana kudhibiti wahuni kwa ile kauli yake "mtapigwa,mtachakaa"
_Kupigwa Risasi lissu wamminye MAMBUPU bashite atataja kila kitu.
Anaefanya kazi kwa weledi hahitaji kutoa lugha za vitisho vya kishetani, bali hutoa maelezo juu ya sheria ya nchi na vifungu vyake vinavyovunjwa na hatua za kisheria zitakazofuatia uvunjaji.Dogo muache Afande Muroto ale pensheni yale, huyu alifanikiwa sana kudhibiti wahuni kwa ile kauli yake "mtapigwa,mtachakaa"
Kwanza anaonekana ana kisukari yuleAfande Muroto tuna kukaribisha kwenye kupanga foleni "NSSF na PSSSF", njoo uone raha yake.
Mlimsifia sana Marehemu alivyobadili sheria za kustaafu, mkasema ana akili sana na upeo mkubwa sana wa kuona mbali, mkasahau kuwa sheria msumeno, jiandae faza.
😂 😂 😂Kupigwa Risasi lissu wamminye MAMBUPU bashite atataja kila kitu.
Wanalindana MpakaYnamaanisha nini?
Agiza kreti 5 za balimi nakuja kulipa.Kupigwa Risasi lissu wamminye MAMBUPU bashite atataja kila kitu.
Mkuu Mungu kaonekanika kwenye maisha na uhai wa Mh Lissu. Wale wote walopanga na waliotekeleza unyama ule hakika Mungu atawaadhibu kila mmoja kwa wakati wake. Jiwe tayari who will be the next? Tumuachie Muumba wetu.Kwa hili watanzania tungekuwa tunajielewa Basi mpaka sasa Kuna watu walitakiwa wale Mvua ya kufa mtu kwa kumsababishia binadamu mwenzao ulemavu ila Basi tu
Ameen na iwe hivyo daimaMkuu Mungu kaonekanika kwenye maisha na uhai wa Mh Lissu. Wale wote walopanga na waliotekeleza unyama ule hakika Mungu atawaadhibu kila mmoja kwa wakati wake. Jiwe tayari who will be the next? Tumuachie Muumba wetu.
Majeshi wanalipwa na hazina hatopata tabu.Afande Muroto tuna kukaribisha kwenye kupanga foleni "NSSF na PSSSF", njoo uone raha yake.
Mlimsifia sana Marehemu alivyobadili sheria za kustaafu, mkasema ana akili sana na upeo mkubwa sana wa kuona mbali, mkasahau kuwa sheria msumeno, jiandae faza.
Wapuuzi Wakubwa nyie.Mutu ya Watu Onesmo Lyanga, IGP ajaye.
Salamu Wakuu,
Kwa jinsi ninavyomjua afande, lazima Kesi ya Lissu ianze upya sababu huyu afande haangalii nyani usoni sehemu yenye uharifu. Man of black and white.
Kumekucha kumekucha.
Leo IGP Sirro amemuhamisha Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kipolisi Rufiji, - Onesmo Lyanga kwenda kuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Kamanda Gilles Muroto ambaye anastaafu.
Sababu Muroto amekua na Kigugumizi cha kutaja alempiga risasi Lissu, sasa kitendawili kimeteguliwa.
Lyanga hahongeki, hashauriki wala hashikiki akiwa anatenda kazi zake, ni haki bin haki.
Hongera sana IGP Sirro. Utastaafu kwa Heshima.
Nasikia CCTV nyumbani kwa Lissu ziling'olewa. Lyanga Watanzania tunakuamini. Sheria ni Msumeno.
Mungu akubariki
Sirro nmekuelewa Vizuri, unataka usitaafu kwa Heshima. Sababu unajua Lyanga hahongeki, umeamua kuweka kila kitu wazi. Nani atamfunga kengere Lyanga? Wamekwisha.
- Blogger Robert Alai(Kenya) atoa siri ya waliompiga Lissu risasi. Amtaja RC Makonda...
- Kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Polisi wapata Video za CCTV
- Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma
- CHADEMA: Lissu atoka ICU, anaweza kukaa...Kamera za CCTV karibu na aliposhambuliwa zimeondolewa
- Walinzi wa Area D (Dodoma) walikuwa wapi wakati Lissu akishambuliwa?
Unaogopa uchunguzi mzee,, ni wewe nini?Wapuuzi Wakubwa nyie.
Risasi Mpige wenyewe na Maigizo muyafanye wenyewe. Aliyempiga Risasi ni Yule ambaye hataki kuguswa kwenye nafasi ya Mwenyekiti. Naona hapo patakuwa pameeeleweka