Cuthbert Swai ndani ya mtego wa Lema na Mbowe

Wewe Kasomi, Sabaya ametumbuliwa na mh. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na siyo Mbowe, Cuthbet Swai wala Lema! Unacho aminisha watu ni kwamba mama SSH, hana akili zake mwenyewe katika kuongoza nchi, anatumiwa na hao wanao taka kulipiza kisasi kunyonga Sabaya!
Ni moja ya dalili za mfumo dume kwa Kumdharau Mazaa kwamba hajui kazi yake, kisa mwanamke! Mwisho unalitumia hilo kama kisasi chako kwa hao jamaa, kama ulikuaga CHADEMA! Pia unadai ulipokua CHADEMA mlipanga maovu?!! Si ukajisalimishe polisi, uwasaidie, wakupeleke kuolewa Segerea, unapo stahili kuwa kwa hayo maovu uliyo panga?! Kisha jamaa akija huko, segerea, ndo yenu itadumu!!
Mkuu hili chapisho la zamani kabla ya maam kumsimamisha kazi
 
Unatakiwa utoe msimamo wako wa sasa! Kama bado unaamini anaonewa, au alitumia tu vita ya kumuondoa Mbowe kwenye Ubunge huko Hai, kupora mali za watu, kujilimbikizia mali na kutumia vibaya madaraka yake?
 
SABAYA OLE
CUTHBERT SWAI NDANI YA MTEGO WA LEMA NA MBOWE

Nitangulize kusema kuwa Mimi nimekuwa ndani ya Chadema kwa Miaka Mingi sana, Nimeshiriki katika Ujenzi wa Chama na kusimamia operesheni kadhaa za Chama ikiwemo Mipango Ovu ya Chama huku ikiratibiwa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.

Mbowe ni Kiongozi mwenye kisasi na akidhamiria jambo lake lazima alitimize kwa njia yeyote ile. Wakati Sabaya anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya pale Hai nilijisemea peke yangu Sabaya anaenda katika vita vya Maisha Yake. Ashinde Aheshimike au Ashindwe na ndoto zake katika Uongozi ziishe. Ila toka Ameteuliwa Mpaka sasa Sabaya ndiye Mshindi anaongoza dhidi ya Mbowe na Sasa Mbowe anataka kulipa Kisasi.

Sasa kisasi kinalipwa kupitia Mfanyabiashara Cuthbert Swai, Huyu Swai namfahamu Miaka Mingi ni Mfanyabiashara ambaye amekisaidia chama cha Chadema sana, Operesheni nyingi za Vijana za kujenga chama zilifadhiliwa na huyu bwana naweza sema ni mmoja wa vijana wenye roho ngumu sana wapo Tayari kumaliza mtu yeyote ili kulinda Maslahi yao. Mbowe, Cuthbert na Lema hawa wote ni Wachaga wa Machame wameungana kupambana na kijana wa Kimasai Lengai Ole Sabaya.

Sasa hivi Sabaya amekua Ajenda ya Chama, Chama sasa kinatumia Akaunti zao za Twiter, Facebook na Istagram huku baadhi ya viongozi waandamizi wafuasi wa Mbowe na Lema kama Twaha Mwaipaja na Kumbusho Dawson wakipokea fungu kutoka kwa Cuthbert ili kuchafua Image ya Sabaya.

Sabaya kuwa Serikalini ni Tatizo kubwa kwa Upinzani wa nchi hii, Kumbuka huyu ndiye amemuangusha Mbowe, Huyu ndiye kafanya Hai imetulia na sio uchochoro wa uhalifu tena, Dawa za kulevya, Noti feki, Uhalifu, Dhuluma sasa haviwezi fanyika tena Hai. Mbowe sasa anataka kulinda Genge lake la wafanyabiashara ambao si rafiki kwa Serikali yetu.

Sasa Cuthbert amesahau Uhuni wake katika Biashara, Dhuluma zake kwa Wapagazi katika Kampuni yake, Dhuluma zake za Ardhi kwa wananchi na Amesahau kuwa hata hapo Jipe anapoishi sasa Ardhi anayokaa inasomeka amepewa na wanakijiji bila kujua Mchezo mchafu anaochezaga wa kujimilikisha Ardhi kwa Kisingizio cha kupewa na wanakijijiji vinajulikana. Aasa kaingizwa kwenye Ngoma ya Mbowe na Lema na yeye anacheza huku akiambiwa ndivyo atasaidika. Nachomwambia Swai yeye anajiitaga Muhuni ila Lema na Mbowe ni Wahuni zaidi yake.

Wacha niwakumbushe jambo, Sabaya Aliteuliwa akitokea Arusha, Na aliteuliwa wakati wa Misukosuko, Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Waandamizi wakimpinga na kumshawishi Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kuwa Sabaya Hafai, Ni baada ya kuamua kusimama kwa wanyonge na kutetea Maslahi yao ambayo Matajiri walikua wakiwanyonya bila huruma. Sabaya alibaki Peke yake, Bila Chama, Bila wafanyabiashara akabaki na Wananchi wanyonge. Pamoja na kumbambikia Kesi Mwishowe Rais Akamteua Nafasi aliye nayo sass hivi.

Mungu Humuinua katika Nyakati zenye kelele kama hizi, Hii ni ishara tosha kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutazama file la Sabaya na kutambua Tunu kubwa aliyopata huyu kijana katika kusimamia misingi ya utawala bora na uongozi.

Kijana Mwenzangu Sabaya Huu ni wakati wako, Piga kazi, Usiwajibu wacha sisi tuwajibu hatukubali Wahuni watupangie nani wa kutuongoza.

Pia nishauri Diwani wa Arusha unayelalamika kupigwa na Sabaya mpango wenu unafahamika wewe na hao wafanyabiashara pamoja na kiongozi mmoja wa wilaya moja iliyo ndani ha Mkoa wa Kilimanjaro, Kiongozi huyo anafahamu uwepo wa Sabaya Hai utasababisha Hai iendelee kuongoza katika Ukusanyaji wa Mapato huku yeye akitaka ndiye aongoze kupitia wilaya anayofanya kazi. (Huyo kiongozi namuweka Kiporo)

Mimi kada Mtiifu wa Chama cha Mapinduzi, na Nitasimama katika Misingi ya Chama changu, Nitalinda kiapo changu ndani ya Chama, Nitasema Kweli Daima na Uongo kwangu ni Mwiko.
OLE LENGAI SABAYA, Jambazi sugu na dhulmati......🤣🤣🤣👊😂😂🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Sabaya unanichekesha

20210503_065320.jpg
 
Wacha uchunguzi ndio utasema.

Ujinga na upuuzi wako na wenzio hauna gharama wala madhara.
Kwani Sabaya si kasimishwa ili achunguzwe, sema unataka uunganishwe.
Sasa ujue wewe kuunganishwa kwenye kuchunguzwa ni automatic.
 
Hivi Sabaya ni wakusafishwa? Kama amekupa pesa kula. Ila Sabaya ni mjinga. Kwani Tanzania ik na MaDc wangapi? Kwanini yeye?
Mimi naona anatajwa yeye kwasababu ya kuwa Hai na Mwenyekiti naye ni wa Hai so Everything is Possible.
Na Kingine anaweza kulalamikiwa sana kutokana na Malalamiko dhidi yake kuratibiwa kwa kiwango kikubwa na Mapedejeee wa Hai wale waliokuwa wakifaidika moja kwa moja na uwepo wa Mwenyekiti.
Lakini hivi kweli mbowe ndiye Pekee anafaa kuwa Mwenyekiti au Mbunge.
Kuna Watu maarufu walipigwa chini kwenye Sanduku la kupigia kura kama Zito Kabwe Zitto Francis aliyetandikwa kipigo Lakini alikubali kushindwa. Hizi Tabia za umalidadi wa kutengeneza Matukio kwa Maslahi ya Mbowe ni upuuuzi saaaana.
Ninazifahamu hizi Mambo za Chadema kufanikisha misheni zao kwa kutumia Nguvu ya uma/People's Power. May anaweza akawa Sebaya kuna kitu amekosea Lakini kuna umakini Mkubwa unatakiwa kufanyika.

NB: Kama Sebaya alihusika kwenye tuhuma chafu it's better achukuliwe hatua kali kwelikweli ili liwe Fundisho kwa Wengine maana Siasa siyo Vita bali ni mwelekezo sawia wa Ujenzi bora wa Upendo na Amani.
Na Kama hausiki Mungu awashughulikie woteee wanaomchafulia kwa Maslahi Yao.
 
Wakuu ngoja nipumue kidogo Dah🤭🤭🤭
 
Back
Top Bottom