katika biashara hii ya usafirishaji hasa kwa biginer kama ww hayo machaguo uliochagua sio sahii kabisa Rosa spea zake ni ghali sana pamoja na civilian sio gari imara na likishaanza kuchoka kufufua inakua kipengele sana Ndio mana unaweza kuta nissan cvilian namba E ml 18 ila vpengele vyake...
kuna loop hole kubwa sana la mauaji kwa sasa watu wanavisasi sana vijana tue makini na dhuluma zetu mtu unamzika lets say 35 ml kwa kujiona mjanja tu watu watakufyeka kwakua upepo saiv n dola ndio inachomoa watu wahuni wanaishi nao umo umo, kingine tuache kula vya watu kwanzia pesa mpka wake za watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.