Recent content by Mbayo wa Giika

  1. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

    Aliyefanikiwa kujiunga atupe ujanja. Mimi nilifikia hatua ya kutumiwa email ili ku-verify ila ikagoma ku-verify.
  2. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kujiniga wasababisha kifo cha mtoto

    Nimecheka kama mazuri hivi. Tukirudi kwenye hitimisho la mleta uzi, ni kweli watoto wanapaswa waongozwe vya kufanya kwenye simu na kuangalia kwenye TV.
  3. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Karibu uagize Gari kutoka CARHUNT JAPAN

    Niwekee bei ya Spacio new model CC 1790 4Wheels
  4. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji yupi anakuvutia?

    Umenena, ukimuongeza na Swed Mwinyi
  5. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

    Mimi ninachojiuliza ni hiki, hivi jana ndio mara yake ya kwanza kupigiwa simu akiwa ofisini?
  6. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi samaki wabichi kwa bei ya jumla kwa jiji la Dodoma?

    Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu. 1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma? 2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili? Ahsanteni...
  7. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa mwamuzi (referee) wa mpira wa miguu Tanzania?

    Samahani, unaweza kujua gharama za mafunzo ili tumsaidie huyu mhitimu mtarajiwa?
  8. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa mwamuzi (referee) wa mpira wa miguu Tanzania?

    Ahsante! Kwa hiyo wote wenye uhitaji na hizi course kutoka kila kona ya nchi wanatakiwa wafike TFF?
  9. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa mwamuzi (referee) wa mpira wa miguu Tanzania?

    Zinatolewa lini na utaratibu gani unafatwa ili kuipata? Nimejaribu kuingia kuna sehemu wameelekeza chagua course ila ukibonyeza unarudishwa juu.
  10. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa mwamuzi (referee) wa mpira wa miguu Tanzania?

    Wadau naombeni msaada juu ya hili. Mwanafunzi wangu anayetarajia kuhitimu kidato cha nne mwaka huu ameniomba nimwangalizie kwenye mtandao namna anavyoweza kuwa referee. Ameomba kujua kiwango cha elimu kinachohitajika, muda wa kukaa darasani na ada. Kila nikigoogle sipati cha maana hata kwenye...
  11. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa tuhuma za kuua akijaribu kutoa mimba

    Kabla ya siku 120 mimba inakuwa ni kiumbe mfu?
  12. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Umenena mkuu. Siku hizi kila mwenye nafasi anapanga lake analodhani litamsaidia kulinda cheo chake au kupanda zaidi. Kinachotafutwa hapo ni kuondoa sifuri kwenye wilaya au mkoa bila kujali anachopoteza mwanafunzi kwa kumuachisha baadhi ya masomo yale ya msingi.
  13. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

Back
Top Bottom