Mbayo wa Giika
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 205
- 106
Wadau naombeni msaada juu ya hili.
Mwanafunzi wangu anayetarajia kuhitimu kidato cha nne mwaka huu ameniomba nimwangalizie kwenye mtandao namna anavyoweza kuwa referee.
Ameomba kujua kiwango cha elimu kinachohitajika, muda wa kukaa darasani na ada. Kila nikigoogle sipati cha maana hata kwenye tovuti ya TFF hakuna cha maana.
Naombeni mwenye ufahamu atusaidie mtoto huyu afikie ndoto zake.