Mchezo wa kujiniga wasababisha kifo cha mtoto

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,779
Mchezo huo unaojulikana kama blackout challenges uliosambazwa na mtandao wa videos hasa za vituko wa tik tok, umesababisha kifo cha mtoto aliyekufa kufuatia majaribu ya kujiniga kwa lengo la kuzimia ili kuwavutia mashabiki wake na administration ya tik tok kwa ujumla ili kupewa zawadi!

Mama wa mtoto anayejulikana kama Tawainna Anderson kutoka jimbo la Pennsylvania anasimulia kuwa, Desemba 7 alimkuta mwanae, Nylah (miaka 10) akiwa na kamba ya mkoba wake shingoni huku amezimia na ndipo kumkimbiza hospitali na kulazwa ICU hadi pale umauti ulipomkuta Desemba 12. Baada ya kifo chake, mama wa mtoto alifungua kesi kuushtaki mtandao wa tik tok, kesi hiyo inaendeshwa hadi leo(May 2022)

Tukio lilitokea miezi sita iliyopita, ingawaje hadi sasa Blackout challenge inafanywa lakini iko modified kidogo!

Wazazi tuache kuwapatia watoto wetu simu angali umri wao hauruhusu! Wanafanya vitu vya ajabu sana!
 
Kwann unatumia karamu nyekundu??
 
Wasukuma mtajua kiswahili lini? Kujiniga Ina maana gani?
 
Back
Top Bottom