Dhambi zote ni mbaya mkuu, alafu kutafuta ela ni kanuni tu km kusoma darasani kama una akili na unasoma utafauru tu whether unafanya dhambi au hufanyi? Kanuni za dunia zipogo tu km ukiwa una sali au husali ukijitupa juu ya ghorofa force of gravity lazima ikuvute chini uanguke, ukila chakula ovyo...
Hongera mkuu wa kupita oral, izo nafasi zimekaa kimichongo sana ata written majibu hawakutoa umepata marks ngap na wametuma kwa text message na wamesimamia wenyewe…yani taasisi kufanya saili wenyewe ni bonge la utapeli
Kingine cha kuongezea statistics ina weza ku apply kwenye field nying sana km za biology, engineering, bussines, agriculture en so on…so utakuta kuna sehemu kuna masters ya biostatistics, so apo kwenye bussines stat is tics utasoma statistics ambayo inaweza kuapply ata kwny biology o any other...
Hii cozi nazani itakua mpya apa bongo, obviously itakua nzuri tu mana utakua na uwanja wa kuapply kazi za statistics, uchumi na biashara of which itakua nzuri sana kwako kuliko math en statistics ambayo mm nimesoma kwenye soko la ajira mimi nlikua natafuta kazi za statistics tupu ila nimepata...
Mkuu kwenye biashara uki torture watu sana wakapata mpinzani utapata anguko baya sana in a longrun, nakupa mfano dodoma kuna bar moja inaitwa bambaraga huyu jamaa kipindi anatamba enzi izo ukienda bodaboda walinzi wanakataza usiingie wanakufukuza. akati ww unaenda kutumia ela mle sasa badae...
Mkuu ulikutana na wezi pole sana…ila nakwambia chunga sana attitude yako dhidi ya wateja, wao ndo wana iyo ela unayoitaka na kumbuka iyo bussines sio kwamba unayo peke yako Tz nzima kuna vitu vidg vidg sana vitakutofautisha na competitors wako…mimi ni mfanyabiashara ni nimefanya kazi kwenye...
So mkuu izo ulizoandika alo juu ndo sheria unazotambia kwamba mtu hakudharau..poa fanya ivi biashara ni huria weka bango tu kwenye biashara yako kuanzia point ya kwanza kwamba rule #1. Nikikutajia bei si ruhusa kuomba bagenii #.2 ukiulizia kitu lazima ununue #.3 ukijaribu lazima ununue #4. Si...
Mteja anapouliza bei alafu hajanunua haimaanishi sio mteja wako…wafanya biashara waliofanikiwa moja ya njia wabayotumia ni hiyo mteja anayekuja anahakikisha anamuhudumia vizuri na kunpa customer care yote ili arudi siku nyingine kununua iyo bidhaa kwenye duka lake
Uko sahihi mkuu, mteja ni mfalme ata aweje! Wewe unahitaji ela yake ndo maana uko pale, ndo mana wakenya wanatushinda sana unakuta unafika dukan muuza duka anakwambia mimi ndo nafunga duka, ataki kutoa huduma mpk kesho anakwambia nawai nyumbani fu*** umekaa siku nzima kusubiri ela pale ukitafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.