HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Leo vipi wakuu
Kuna kaubarid flani ivi nakafeel kama kitawaka😁😁😆,aloooo nimekakumbuk kale kaubarid cha dodoma kwa tusiozoea hali ya hewa ya dom mpk nikawa natetema nikahisi adi kwny oral nitatetema vile🤣🤣🤣..
 
Waachie mkeka tupunguze stress ...
Kuna kaubarid flani ivi nakafeel kama kitawaka😁😁😆,aloooo nimekakumbuk kale kaubarid cha dodoma kwa tusiozoea hali ya hewa ya dom mpk nikawa natetema nikahisi adi kwny oral nitatetema vile🤣🤣🤣..
a
 
Nan aliwai kufanya Oral interview ya Tanzania Commercial Bank Position ya Relationship Officer majibu huwa wanatoa kwa mda gan?
Hongera mkuu wa kupita oral, izo nafasi zimekaa kimichongo sana ata written majibu hawakutoa umepata marks ngap na wametuma kwa text message na wamesimamia wenyewe…yani taasisi kufanya saili wenyewe ni bonge la utapeli
 
Back
Top Bottom