Recent content by MBATATA

  1. M

    Tunataka kiongozi wa aina gani Tanzania?

    Kiu kweli kweli! Hasira sana! Kwa miaka mingi iliyopita wengi wetu tumekuwa tunaonyesha kiu kubwa ya kuona mabadiliko ya msingi nchini. Hasa baada ya kuondoka Mwalimu Nyerere madarakani, tulipitia vipindi ambavyo mamlaka zilizofuatia zikaonekana kutoweza kuhimili usmamiaji wa misingi muhimu kama...
  2. M

    Osama bin Laden’s son vows revenge against US for killing his father

    Wamalize kwanza migogoro ya wao kwa wao maana kila pemb Mashariki ya Kati ni shida!
  3. M

    This is what others say about our "AU"

    Aisee muzee upo ukweli mwingi sana hapo. Lakini hata hivyo shurti tuwe na forum ya kujadili mambo ya continent as a whole, Sisi ni Bara moja!
  4. M

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Mkuu, Ni jazba? Hoja yako ni ya msingi, hasa unapouliza "je Mwenge bado ni kipaumbele kwa taifa"? Kwa hiyo kuna vipaumbele vya kitaifa ambavyo hatutaacha kuvisimamia. Lakini kama ni kipaumbele kwa Chama ni vema kikashauriwa kuangalia mambo yenye kukiongezea umaarufu chama kama vile kasi mpya...
  5. M

    Mimi ninaafiki utawala wa Rais Magufuli, na nchi hii inataka kiongozi dikteta

    Una utafsirije Udikteta? Kuwasimamisha watu kazi? Kuwalazimisha kulipia kodi bidhaa zinazoingizwa holela? Labda tuseme anachofanya ni kuirudisha nchi kwenye mstari wa kufuata taraibu na sheria, pamoja na kuondoa uzembe uliokithiri
  6. M

    Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

    M/habari huru Heshima kwako. Naomba ufafanuzi wa mambo 2. Kwanza je kwenye mkutano huo wakazi wa Babati walitoa malalamiko juu ya Mkurugenzi huyo? Pili, kama Raisi alitoa tamko la kumwajibisha Mkurugenzi slitumia kigezo hicho cha kesi ya Uvinza tuu?
  7. M

    Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

    M/habari huru Heshima kwako. Naomba ufafanuzi wa mambo 2. Kwanza je kwenye mkutano huo wakazi wa Babati walitoa malalamiko juu ya Mkurugenzi huyo? Pili, kama Raisi alitoa tamko la kumwajibisha Mkurugenzi slitumia kigezo hicho cha kesi ya Uvinza tuu?
  8. M

    Ni kweli Dar watu hawanywi pombe saa za mchana?

    Inaelekea sheria hii kuja kufanya kazi itakuwa ngumu sana. Hata hivyo hivi huyo Bw JPM anagonga vitu kama hivyo? Au ni mlokole?
  9. M

    Rais Magufuli amteua Thobias Andengenye kuwa Kamishna Mkuu wa Zimamoto

    Sidhani kama Mkuu wa Zimamoto yumo kwenye core national security posts. Kama hakuna azma ya kumrudisha Polisi tens, hapo ndio wanamsogeza pembeni asiwemo kwenye sehemu nyeti Na hili linafanywa kwa malengo mahsusi
  10. M

    Dhana ya Kutofumua Makaburi

    Mkuu, una maana wajanja WAPETE ....ie waendelee kula bata - kwa raha zao, haha!
  11. M

    Usanii Suala la Kabwe na Ujanja wa Kizamani wa CCM

    Mkuu umenena! Mbuzi wa kafara tuu!
  12. M

    Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

    Ahaa! Kwa hiyo tuelewe yapo madudu mengine nyuma ya pazia ambayo hayakuwekwa wazi? Nadhani ni vema yakaelezwa ilikujenga hoja za nguvu dhidi ya wahusika wote!
  13. M

    Bunge la Afrika Kusini leo kujadili kuong'olewa urais Jacob Zuma

    Kweli kabisa na ndicho kinachozitesa nchi kama Tz ...majority ya ruling party haitakubali kuunga mkono hoja za upinzani haswa kwenye maslahi ya chama chao.
  14. M

    List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

    CHADEMA wapende wasipende, 2015, lile lilikuwa Kosa la kiufundi la karne! Inasikitisha mno
Back
Top Bottom