Osama bin Laden’s son vows revenge against US for killing his father


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,638
Likes
6,269
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,638 6,269 280
Osama bin Laden’s son vows revenge against US for killing his father in audio message posted online
In a 21-minute speech released by Al-Qaeda, Hamza bin Laden promises to continue the global militant group’s fight against the United States

Osama bin Laden was killed in 2011 during a secret operation by US forces Getty
The son of Osama bin Laden has threatened revenge against the US for assassinating his father, according to an audio message posted online by Al-Qaeda.

Hamza bin Laden promised to continue the global militant group's fight against the United States and its allies in the 21-minute speech entitled "We Are All Osama," according to the SITE Intelligence Group, an organisation that tracks white supremacist and jihadi organisations online.

"We will continue striking you and targeting you in your country and abroad in response to your oppression of the people of Palestine, Afghanistan, Syria, Iraq, Yemen, Somalia and the rest of the Muslim lands that did not survive your oppression," Hamza said.

"As for the revenge by the Islamic nation for Sheikh Osama, may Allah have mercy on him, it is not revenge for Osama the person but it is revenge for those who defended Islam."

Osama bin Laden was killed at his Pakistani hideout by US commandos in 2011 in a major blow to the militant group which carried out the September 11 attacks.

Documents recovered from bin Laden's compound and published by the United States last year alleged that his aides tried to reunite the militant leader with Hamza, who had been held under house arrest in Iran.

Bin Laden audio reveals chilling pre-warning of 9/11 attack 'plan'
Hamza, now in his mid-twenties, was at his father's side in Afghanistan before the 9/11 attacks and spent time with him in Pakistan after the US-led invasion pushed much of Al-Qaeda's senior leadership there, according to the think tank Brookings Institution.

Introduced by the organisation's new chief Ayman al-Zawahiri in an audio message last year, Hamza provides a younger voice for the group whose ageing leaders have struggled to inspire militants around the world galvanised by Isis.

Source: The Independent
 
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
11,295
Likes
7,320
Points
280
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
11,295 7,320 280
Atakufa kabla ya kulipiza hicho anachokiita kisasi. Anaanzisha vita ambavyo hawezi kuzishinda
Pyuuuuuuuf !! Mauti yata mfika kila kiumbe !!
Mbona Vita vya babake hadi leo na kesho vinatikisa ULIMWENGU !!?!! "Tafakari"
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,498
Likes
14,796
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,498 14,796 280
Mkamia maji hayanywi, halafu ukisikia mtu anasema jamani mshikeni nisije nikampiga aaagh ujue hamna kitu humo. watendaji huwa hawasemi bhana yaani huwa hakiuna siasa
 
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
3,706
Likes
7,288
Points
280
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
3,706 7,288 280
nini ina wa inspire kulipiza kisasi, ila huyu namsikitikia, atakufa kwa ugonjwa usiofahamika hivi karibuni tu....afadhali angekaa kimya hicho kisasi chake akakilipiza kwa kushtukiza
 
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
3,706
Likes
7,288
Points
280
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
3,706 7,288 280
Pyuuuuuuuf !! Mauti yata mfika kila kiumbe !!
Mbona Vita vya babake hadi leo na kesho vinatikisa ULIMWENGU !!?!! "Tafakari"
nawashangaa sana.. kamsomeni Mahatma Gadhi pengine anaweza kuwasaidia....An eye for an eye ends up making the whole world blind
 
naan ngik-kundie

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,777
Likes
2,308
Points
280
naan ngik-kundie

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,777 2,308 280
Hawa watoto wa Osama si waliwahi kanusha taarifa za USA kumuuwa baba yao, na wakasema baba Yao alikufa kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu tangu mwaka 2006, sasa visasi vya nini tena kwa USA Kama USA waliua mtu mwingine?
Inshu ingine dogo alipaswa kufanya mashambulizi kwanza ndo baadae aseme yeye ndiye mtekelezaji wa hayo mashambulizi habari za kuongea tu kwa media wakati hajaganya lolote ni kazi bure.
 
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
11,295
Likes
7,320
Points
280
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
11,295 7,320 280
Waisilamu nawashangaa sana.. kamsomeni Mahatma Gadhi pengine anaweza kuwasaidia....An eye for an eye ends up making the whole world blind
Chinachy !! tafadhwali usijumuishe wala usiwahusishe Wandugu bure!! wee Ongea nami tu niliyocomment!! just be fair ... Nguruwe akuuwe wewe umpapase !!!
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,138
Likes
3,188
Points
280
Age
30
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,138 3,188 280
Nasikia dini yao ndio ina wa inspire kulipiza kisasi, ila huyu namsikitikia, atakufa kwa ugonjwa usiofahamika hivi karibuni tu....afadhali angekaa kimya hicho kisasi chake akakilipiza kwa kushtukiza
usipende ya kusikiasikia
 
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
2,527
Likes
1,106
Points
280
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
2,527 1,106 280
kill urself if you got involved to USA
 
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
11,295
Likes
7,320
Points
280
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
11,295 7,320 280
Hakuna wa kumgusa mtoto wa Mujahideena huyo..!!!
chinchilla coat
Tyta mbona meufyata...
 
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
11,295
Likes
7,320
Points
280
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
11,295 7,320 280
Thanks Tyta !! ila na hao waUwaji kwa kutumia Silaha kali.. nao it applys theirIdeologyz... hawa wanacheza ????? MaGaidi Senior na wenyekuwashangaa nao na Magaidi mamboleo.. chinchilla coat
upload_2016-7-11_11-47-48-jpeg.365142
upload_2016-7-11_11-48-25-jpeg.365143
upload_2016-7-11_11-48-38-jpeg.365144
images?q=tbn:ANd9GcRD3oNRg9xDrTaktD52_w8VkvrTx3u8cTKZe1OP61UT1uuMRTj-Qw
images?q=tbn:ANd9GcT2yhKmhTJBEgR7q13GWevh-xNIReBDMaV2iFtfKZZIma6fo3U89g
images?q=tbn:ANd9GcRB0u2CeWNW4vzF-pwzRHvAq8fsiVwemg7kH_w88UZG2T9pUKGxBg
 
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
2,607
Likes
1,316
Points
280
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
2,607 1,316 280
....mtoto kakaa na viazi wenzie wamemlisha kasa huko porini, ghafla anaibuka anataka kushindana na marekani!
 
M

MBATATA

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
544
Likes
86
Points
45
M

MBATATA

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2013
544 86 45
Wamalize kwanza migogoro ya wao kwa wao maana kila pemb Mashariki ya Kati ni shida!
 

Forum statistics

Threads 1,237,560
Members 475,562
Posts 29,293,587