Recent content by Mbarawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    Madhara ya vita vya Kagera mpaka leo yapo. Tukianzisha vita na Malawi nadhani yataendelea mpaka miaka 50 ijayo!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na tapeli huyu anayejiita Beka Mfaume

    Pole kaka mambo fakebook hayo wenzako wengi wameuvaa mkenge!!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu ni ndugu zangu;nawapenda sana!

    Hizo chuki za kidini ni mitaji ya wanasiasa. Nawatahadhrisha ndugu zangu wakristo mujihadhari nao.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu zinazompa mwanamke raha

    Siku hizi wachaga wanapanda meli Wengine wanakaa Tanga sio wote jamani !!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Bodaboda zitatumaliza!!! Kesho utasikia pkpk haziruhusiwi!! Kwa amri ya Ikulu....
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans risk being jailed for 12 months or paying KSh 2M for failing to refer to an MP as ‘Honorable

    Sisi walalahoi pia tunaitwa waheshimiwa!!! Lakini hilo jina ni la muda tu, Wakati wa kampeni tuu Uchaguzi ukiisha.......
  7. M

    JamiiForums Tanzania Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Tatizo tunataka kufanya mambo kwa haraka(SHORT CUT). Wenzetu Kenya imewachukua Miaka 11, kukamilisha katiba yao . Tusipojihadhari na kushabikia tu tutapewa katiba mbovu kabisa.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa

    Hapo nimekubali fiksiman
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa

    Kaka fiksiman unajua kuna dada zetu wa makabila mengine huwa wanakatwa "VCM" vyao na hao unategemea utawafikisha juu ya mlima kwa muda huo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali 2 ni ghali kuliko serikali 3, Ushahidi huu hapa

    Duh hawa jamaa hawachinji bali Wananyonga!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

    Nawasikitikia sana mahasimu wetu itachukua muda kurudi kwenye chart!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea anaweza kuwa bingwa

    Ha Ha ha Mwaka huu Hatukamatiki tut'esa mpaka kieleweki agosti 8
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea anaweza kuwa bingwa

    Nasikia Liverpool wamenyan'ganywa Point 3 baada mancity kukata rufaa sababu wamefingwa KIMAZABE!!!!!@Maprosoo . Kumbuka kaka kutesa kwa Zamu na sasa ni zamu yetu sisi...YWNA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waumini Wa Serikali Mbili Tuvuteni Sox Haikuwa Wiki Njema Hii: Tubadilikeni Now!!

    Tatizo huyu ni Royal Family ya Cc
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

    Ingekuwa kachakaa hapo ndio ungesema malipo hapa duniani hivyo bado unampenda safari hii utapigwa na safari booty ushawahi kuisikia?
Back
Top Bottom