Chelsea anaweza kuwa bingwa

Chelsea anaweza kuwa bingwa

mechi ya kwanza ya Chelsea Vs Liverpool msimu huu iliishaje?

Au mechi ya kwanza ya Man City Vs Liverpool msimu huu iliishaje? Ukishapata jibu ujiulize mechi ya pili pale Anfield iliishaje? Ukishapata jibu uniambie tathmini yako kitatokea nini mechi ya pili ya liver vs chelsick pale Anfield...
 
Liver ni mabingwa wapya wa EPL!Chelsea nani wa kufunga?Ba au Etoo nabuzee wao ule?

Man City alirudi sababu ya ukali wa foward yao!Chelsea akifungwa hata bao 1 dakika ya 2 hawezi rudisha!
 
Kalou kumbuka mechi hiyo 2-1 bila Sturrigde tena kwa mbinde ikiwa ni pamoja na kunyimwa penati ya wazi ya Eto'o
 
mkifungwa mmenyimwa penati?
Kuweni na huruma penati zote mnazopewa kila siku?

hakuna timu imepewa penati nyingi bure bure kama LIVEPOOL msimu huu.

NGUVU UNAYOTUMIA KUBISHANA HAPA NDO NGUVU NITAKAYOTUMIA KUKUSUMBUA BAADA AY KUKUCHAPA TAREHE 27;

waulize wafuatao:

Sizinga(arsenal fc)
RRONDO(psg)
ndetichia(man city)
Mndengereko(man utd)

wewe ongea utakavyo..subiri tarehe 27. utakimbia jukwaa hili.
SIMBA WA BLUE..yuko nyuma yako KIMYA KIMYA.

Magoli yetu muhimu hufungwa na watu usiodhani:

Ivanovic..atafunga tu usiwe na hofu. Unakumbuka huyu amewahi kukufunga magoli 2 ndani ya mechi moja tena yote ya vichwa? au umesahau?
Liver ni mabingwa wapya wa EPL!Chelsea nani wa kufunga?Ba au Etoo nabuzee wao ule?

Man City alirudi sababu ya ukali wa foward yao!Chelsea akifungwa hata bao 1 dakika ya 2 hawezi rudisha!
 
Au mechi ya kwanza ya Man City Vs Liverpool msimu huu iliishaje? Ukishapata jibu ujiulize mechi ya pili pale Anfield iliishaje? Ukishapata jibu uniambie tathmini yako kitatokea nini mechi ya pili ya liver vs chelsick pale Anfield...

mmemfunga city kimazabe 2, kwanza ni kw kua injini y timu iliumia, walinyimwa penalt y skatel ..........
 
Nasikia Liverpool wamenyan'ganywa Point 3 baada mancity kukata rufaa sababu wamefingwa KIMAZABE!!!!!@Maprosoo .
Kumbuka kaka kutesa kwa Zamu na sasa ni zamu yetu sisi...YWNA
 
kweli mmetesa sana sasa hiyo zamu yenu inaisha tarehe 27;🙂
Nasikia Liverpool wamenyan'ganywa Point 3 baada mancity kukata rufaa sababu wamefingwa KIMAZABE!!!!!@Maprosoo .
Kumbuka kaka kutesa kwa Zamu na sasa ni zamu yetu sisi...YWNA
 
UEFA CHAMPIONS LEAGUE SEMI-FINAL 2005; mlipewa goli ambalo halikuvuka mstari katu katu.

Hatujawasamehe..
Kalou kumbuka mechi hiyo 2-1 bila Sturrigde tena kwa mbinde ikiwa ni pamoja na kunyimwa penati ya wazi ya Eto'o
 
mkifungwa mmenyimwa penati?
Kuweni na huruma penati zote mnazopewa kila siku?

hakuna timu imepewa penati nyingi bure bure kama LIVEPOOL msimu huu.

NGUVU UNAYOTUMIA KUBISHANA HAPA NDO NGUVU NITAKAYOTUMIA KUKUSUMBUA BAADA AY KUKUCHAPA TAREHE 27;

waulize wafuatao:

Sizinga(arsenal fc)
RRONDO(psg)
ndetichia(man city)
Mndengereko(man utd)

wewe ongea utakavyo..subiri tarehe 27. utakimbia jukwaa hili.
SIMBA WA BLUE..yuko nyuma yako KIMYA KIMYA.

Mkuu
Liverpool BINGWA na hata The Special one anajua hivyo!
Hata Bayern Munchen hawezi pata point yyt Anfield ndiyo uwe wewe Chelsea?Sio Liverpool ya Daglish wala Benitez hii!
 
.....man city bado uwezekano upo wa kubeba epl. kipind hiki ni vigumu sana kumtabiri mshindi—though chelsh*t na liva- puli ndo wanapigiwa upatu.
 
Nasikia Liverpool wamenyan'ganywa Point 3 baada mancity kukata rufaa sababu wamefingwa KIMAZABE!!!!!@Maprosoo .
Kumbuka kaka kutesa kwa Zamu na sasa ni zamu yetu sisi...YWNA

zamu yenu bad0!" labda special 0ne awe amekufa!" ............
 
Au mechi ya kwanza ya Man City Vs Liverpool msimu huu iliishaje? Ukishapata jibu ujiulize mechi ya pili pale Anfield iliishaje? Ukishapata jibu uniambie tathmini yako kitatokea nini mechi ya pili ya liver vs chelsick pale Anfield...

au ungejibu tu Liverpool ilifungwa...
 
Manuel Pellegrini anasema 'Man City au Liverpool ndio timu zinazostahili kuchukua ubigwa mwaka huu kwa maana ndio timu zinazocheza mpira mzuri na wakuvutia na kushambulia......Chelsea wanaweza wakachukua lakini mpira wao hauvutii maana wanachaeza zaidi kwa KUJIHAMI'.
 
Kwa hiyo hizo akili hazikuwepo Villa Park, hazikuwepo kwa vijana wa Tony Pulis? Kwa style ya BR ya sasa Chelsea ni timu inayofungika kirahisi zaidi kwa kuwa haina washambuliaji hivyo beki ya Liverpool itakula Bata Tu kusaidia mashambulizi. Hata City kabla kuvuliwa Chu.pi walikuwa na mihemko kama yenu kabla ya mechi.

He is talking about these mediocre games, mind games is for big matches. BL ameshinda nini zaidi ya nafasi ya 7 na kupandisha daraja Swansea.
Talking about Chelsea kufungika kirahisi nadhani huijui EPL vizuri the best defense EPL kamwulize John Champion
 
Back
Top Bottom