Recent content by Mbaramwezi

  1. Mbaramwezi

    Natafuta gari ndogo carina ti/ist/swift

    Amani kwenu nyote! Topic iko wazi hapo Juu
  2. Mbaramwezi

    Mshahara wa loan officer CRDB

    Vijana wenzangu nawashauri mjaribu kufikiri nje ya box bz msharaha cyo issue ya maana ki-hivyo. Mimi niliajiriwa sikuja mshahara wangu utakua ni Tsh ngapi ila nilijua kua jamaa wamenikubali na wamependa utendaji wangu nipop kwenye agency ya serikali na napiga karibu 2ml
  3. Mbaramwezi

    Nielimisheni kuhusu hili swala la CV na Attachment

    Nitumie vyeti vyako vyote kwa mucobslindi@gmail.com nikuwekee kwa file 1 uone jinsi inavyo kua
  4. Mbaramwezi

    CHADEMA haya ya Morogoro nyie hayawahusu?

    Nahisi mleta huu uzi amemaliza form four last year na alipata Division 5. Ninaamini kichwa chako siyo kitupu kabisa walau unaweza kujua japo 1+1=2. kama kweli unaweza kufikiri kwa kiwango hicho plz hebu tumia japo 5 min kufikiri sawasawa badala ya kutumia akili zako kwa kuvukia barabara tu. Je...
  5. Mbaramwezi

    Dr Slaa kuunguruma Ifakara kesho tarehe 20/08/2013

    Ninamashaka na matumizi ya hakili zako na nashawishika kusadiki kua hata katiba iliyopo hujawahi kuisoma hata ibara moja. It seems that tatizo lako ni zinakotoka pesa na siyo mikutano, any way''you'll understand it when a man with a long cort stand and nock your door bz u'r the next victim''...
  6. Mbaramwezi

    Nauza line ya m-pesa

    Habari wana JF! Kama Title inavyojieleza, Till ya M-pesa inapatikana if you are interested just call 0713354189 for more info
  7. Mbaramwezi

    Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

    Huyu jamaa nadhani kwa hii historia yake ametoa somo kubwa sana hasa kwa vijana waliomaliza elimu ya juu na bado hawana kazi
  8. Mbaramwezi

    Line ya uwakala wa m-pesa

    Nitafute 0713354189
  9. Mbaramwezi

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    No! Mimi np kanisani hapa kkkt dodoma, askofu awetueleza wakristo kile kilichojili kwny kikao chao cha trh 8 mwz huu. Big maaskofu kwa kusema ukweli bz kweli itatuweka huru
  10. Mbaramwezi

    Acceptance speech ya Uhuru Kenyatta, Kuna cha kujifunza kwa viongozi wetu

    Autocue? Kumbe mnazijua eeh? Sasa kwann mnafeli 4m4?
  11. Mbaramwezi

    Oral Interview, Dodoma University.

    yes wadau ni kweli jamaa wanaita through phone, watu wa planning ni tarehe 5/3/ 2012 saa mbili kamili
  12. Mbaramwezi

    Tanzia: Diwani wa CCM Ifakara afariki dunia!

    In Memory of Ramadhani .K (Councelor Ifakara Town) I think about you all the time, And everyday it hurts to cry. So much has happened in my life because of you, I'm not sure how hard to try. Tears are falling constantly, My heart hurts every day. I think about your beautiful smile, That I pray...
  13. Mbaramwezi

    Tanzia: Diwani wa CCM Ifakara afariki dunia!

    We will mic u wana UVCCM-KILOMBERO
Back
Top Bottom