Hivi kwani Degree ndio nini,yaani mtu mwenye akili timamu haswaa unaweza kulinganisha Mshahara na Elim?
Mfaham kwanza mitaani mpo kibao hamna issue,na kila siku vyuo vinawamwaga mitaani.
Matumizi ya Pesa ni akili yako,watu wanalipwa Laki mbili kwa mwezi na wanafanya yao.Na wapo watu wanalipwa hadi milioni tano lakini wakiachishwa kazi hawana hata moja.
Huu ndio ujinga wanafunzi wa vyuo wanaotoja nao vyoni kuja mitaani,yaani wao wanawaza pesa tuu.Mngeenda kuona jinsi Veta inavyotoa vijana wa kuanzia Darasa la Saba na baada ya mafunzo yao wakitoka pale ni habari nyingine kabisa.Muda kama wa miaka miwili hadi mitatu na wao wanaajiri na kuwa vizuri kimaisha.
Wanachuo Mtaandamana sana kwa halii,kisa ajira,kumbe tamaa