Dr Slaa kuunguruma Ifakara kesho tarehe 20/08/2013

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
2,942
Reaction score
1,302
Katika ule muendelezo wa CHADEMA katika mkakati wake wa kukutana na watanzania na kukusanya maoni yao juu ya katiba mpya.
Mahali ni viwanja vya KIUNGANI mjini Ifakara, kuanzia saa saba mchana.

CHADEMAAAAAAA...............

source😛ambazuko fm.
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
 
Kwa kuongezea ni kwamba, hii mikutano ya chadema ya kila siku wananchi watafanya kazi za ujenzi wa nchi saa ngapi?. Pia hizo pesa za kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano zinatoka wapi?.
 
Zemarcopolo-Wwe bado ways wengi wanaitaji elimin sana achana na maoni ya katiba Bali elimu ya uraia pia.
 
Tatizo ufahamu wenu ni mdogo juu ya mpango mzima wa maoni ya Katiba. Kuna awamu tofautitofauti katika uundwaji wa katiba; hatua yakwanza ilikuwa ni ukusanyaji wa maoni toka kwa wananchi kupitia tume, pili mabaraza ya katiba, kisha taasisi mbalimbali na vyama vya siasa. Sasa CHADEMA kama chama cha siasa kimeanza rasmi jukumu lake, na hii ni kisheria wana haki hiyo. Na hata ccm nao watafanya ama wameanza kufanya shughuli hiyo hiyo. Ndivyo itakavyokuwa!! Naona mmetanguliza chuki binafsi kwenye jambo hili!
 
Ze makopolo ana uchademaphiobia ni ugonjwa hatari sana unaanzia kichwani unaweka mizizi timboni nimeanza taratiibu kutokusoma post zake
 
Kwa kuongezea ni kwamba, hii mikutano ya chadema ya kila siku wananchi watafanya kazi za ujenzi wa nchi saa ngapi?. Pia hizo pesa za kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano zinatoka wapi?.

Ninamashaka na matumizi ya hakili zako na nashawishika kusadiki kua hata katiba iliyopo hujawahi kuisoma hata ibara moja. It seems that tatizo lako ni zinakotoka pesa na siyo mikutano, any way''you'll understand it when a man with a long cort stand and nock your door bz u'r the next victim'' Luck Dube
 
Back
Top Bottom