Recent content by mbangalage

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kaua vipaji vya wanasiasa vijana ndani ya UKAWA

    Mtoa hoja, umeongea kiunazi zaidi. Tambua kwamba hu ni wakati wa kampeni, na kinachongelewa zaidi ni sera za vyama husika pamoja na wagombea wao. Isitishe hao unaosema ni miongoni mwa wagombea wa nafasi za ubunge, so hata muda wa kuwa na siasa za kuvuta kwa sasa haupo. Huoni hata chama chetu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa Afunika Iringa

    Lowassa, tafadhali baba, ccm wanapata homa kali. Itabidi peoplezzz tupungue kuhudhuria mikutano maana wazee wa kijani wanaumwa kabisa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

    Duu,huyo ni naye ni mchaga? Maana mmezoea uzushi eti cdm ni ya wachaga tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni kama kijiko cha sukari kwenye pipa la maji

    Hizo ni porojo, kinywaji hawezi kuanzisha mahakama ya namna hiyo na ikawa huru. Mtangulizi wake aliahidi mangapi na kuyafanya?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jina la Prof. Lipumba sasa ni dhahiri Limeanza Kutoweka

    Tatizo la prof. Lipumba, alidhani kuondoka kwake, ngome ya upinzani itayumba, kumbe siyo. Kwanini Lipumba ameingiwa kwenye kundi la wanasiasa vibaraka? Kama aliona mh. Lowassa hafai, alishindwaje kujenga hoja tangu awali kwenye vikao vyao vya ukawa? Prof. Lipumba ukubali ama ukatae...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge viti maalum CCM toka Lindi ajiunga na CUF mbele ya Maalim Seif

    Safi sana. Hongera mama kwa kujitambua. Ccm mtaondoka kama alivyoondoka filauni, kwisha hbr yenu. Dhuruma yenu ndio dawa yenu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    Sasa wewe ndugu yangu unayejiita cleverbright, unathubutuje tukukana watu wa mkoa mzima kuwa wanapenda umbeya? Ina maana huyo magufuri uliyekwisha kumwandaa kuwa rais, atakuwa rais wako mwenyewe? Ccm umesema ni chama kitakatifu tanzania, africa na duniani kwa ujumla, je kwenye hiyo ccm hakuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajui kwanini tunasema 'Life begins at 40'

    Mkuu, hiyo ni kweli tupu. Somo safi sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Pole pole sijui amekuwaje siku hizi, mbona amekuwa sio yule aliyekuwa kwenye tume ya mzee Warioba? Au hekima za mzee Warioba zilimfunika tusijue tabia yake? Hivi ni kweli Lowassa ni mchafu kushinda watu walioko ndani ya ccm kweli? Kama kweli Lowassa anatoa rushwa, mbona hakuna mtu hata mmoja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Haya sasa ni mafuriko. Ila nawasihi watanzania wenzangu wote wapenda mabadiliko kama mimi, tuwe makini kuepusha jaziba, ccm wana ghiliba nyingi. Mwaka huu lazima waisome namba, tumewachoka sana ccm na viongozi wao makanjanja
Back
Top Bottom