5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,290
- 2,431
Ndugu wadau Salaam Alykum.,
Nakuwa najiuliza mtu ni hadi awe mwanasiasa ndio atajwe mara kwa mara Jina la Lipumba tartiiibu limeanza kutoweka kwenye maskio yetu.
Nilitamani kumsikia Lipumba akitoa misimamo ya ukawa na kujpambanua uwezo wake wa Elimu sasa ni wiki sijaskia chochote maskioni mwangu.
Je Prof. mwenyewe alilitegemea hili baada ya kujiuzulu Mwenyekiti CUF Tanzania Bara?? Kama ndani ya wiki moja tumeanza kumsahau ivi itakuwaje baada ya mwaka mmoja?? Jambo hili Prof alilijua?