Recent content by Mbane

  1. M

    JamiiForums Tanzania Afrika walimbwende wapo South Africa na Nigeria, kwamba Tanzania wamejaa sura za baba tu how come?

    Broe inaonekana hii nchi huijui vizuri....! Tanzania tuna kila aina ya sampuli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

    Sasa hivi imefika season ngapi? Mimi nimecheki mpaka season 2
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

    Kitu chochote ukiwekeza nguvu na akili katika jambo hilo...! Baadae inakua rahisi mno kulifanikisha na ndo litakua linatokea kwenye maisha yako mara kwa mara....! Huyo rafiki yako aliwekeza nguvu na akili kwa wanawake toka zamani, mpaka sasa imekua tabia. Hivyo anawapata bila kutumia nguvu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duniani Wanawake Waganda wanaongoza kwa kuwa na Mizigo au Matrakoo Asilia. Zunguka popote, hawa viumbe wamejaaliwa

    Mmmh waganda huwambii kitu kwa wakenya na kenya yenyewe wanawahusudu sana...! Tanzania na watanzania hawana habari nayo kabisa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

    Sijui wenzetu Nigeria wamewezaje hilo matajiri wao woote ni wazawa weusi...! Hakuna cha waarabu wala wahindi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Laila Ali (The Iron Lady) malkia wa ngumi ulimwenguni

    Nikikumbuka pambano kati ya joe Frazier na big foreman, wote wakiwa kwenye ubora wao Frazier alipigwa kama mtoto, lilikua pambano rahisi sana kwa foreman. Wakati huo Joe alikua ametoka kumchapa Mohamed ali. Watu wakadhani foreman akikutana na ali anaenda kuua round ya 2, lakini mambo yakawa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    17 January hii tarehe inaonekana sio rahisi kupata pacha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Laila Ali (The Iron Lady) malkia wa ngumi ulimwenguni

    Mohamed ali alikua ni zaidi ya boxer, mwamba alikua entertainer na mjanja mjanja ndani na nje ya ulingo
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Nenda hospital wakucheki inawezekana hormone zako za kiume(testosterone) ziko chini mno.....! Maana hujawahi kupiga punyeto hiyo ina maana una low sex libido, tatizo litakua hormone nenda hospital una tatizo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Sahihi kabisaa wanaume ndo tatizo kubwa kwenye hili. Wanawake hawanaga noma kabisa huwa wanatembea na beats tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Una hoja usikilizwe tafadhali....! Mpaka kufikia huku wanaume ndo tumefeli pakubwa...! Wakulaumiwa ni sisi wanaume na si vinginevyo
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Ni sawa ila rekebisha hapo kwenye kupata pesa, kuna wajinga wengi tu wako na pesa.....! Kupata pesa ni kitu kisichohitaji akili nyingi ni imani tu..
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Kama una mpenzi sasa unataka nofap ya nini? Ww kula mbususu hiyo, ila tu usipige nyeto na kuangalia x
Back
Top Bottom