Mjue Laila Ali (The Iron Lady) malkia wa ngumi ulimwenguni

Kama mabondia wakubwa duniani Mike Tyson, George Foreman, Lenox Lewis, Evander Holyfield, Joe Frazier, chama cha ngumi duniani kote na wanamichezo wengine wakubwa wanakubali kwa kauli zao wenyewe kuwa Muhammad Ali ni GOAT wa mchezo wa ngumi, wewe ni nani katika mchezo huo hadi upingane nao? Au itampunguzia nini katika nafasi aliyowahi kuwa nayo kabla ya kufa na anayoendelea kuwa nayo pia baada ya kufa?

Obvious inajulikana vyema kuwa kitendo cha kukataa kwenda kuuwa raia wasiokuwa na hatia kule Vietnam na misimamo yake aliyokuwa nayo dhidi ya ubaguzi wa rangi ulikuwepo umeshamiri nchini kwake miaka ile kulisababisha afungiwe kupigana na kusafiri kokote kwa miaka mitatu, pia ifanyike mbinu ya kumdhoofisha na kumuharibia sifa yake aliyokuwa nayo ili kumkomoa. Lakini hivyo vyote havikuweza kusaidia kumuondolea heshima yake yote aliyokuwa nayo.

Labda kilichochangia kumshusha kwa namna fulan ni ugonjwa wa Parkinson (ugonjwa wa kukakamaa mwili) aliokuwa nao, ambao ulimfanya muda mwingine kushindwa kurusha ngumi, kushindwa kukwepa ngumi, kushindwa kudansi nk. Kila mtu anajua kwamba Muhammad Ali kabla ya ugonjwa wa Parkinson kumvamia yeye ndio aliekuwa bondia mwenye uwezo wa kurusha ngumi kwa speed isiyoweza kuonekana, kukwepa ngumi kwa namna ambayo haijawahi kutokea, na kudansi katika ring kwa namna ya peke yake.

Ni Muhammad Ali pekee aliekuwa tayari kuingia ulingoni kupigana hata wakati alipokuwa anaumwa ugonjwa hatari wa Parkinson, lakini bado hakuweza kuangushwa kwa KO. Kama hauujui ugonjwa wa Parkinson ingia google ukausome alafu uje uone Muhammad Ali alikuwa na moyo gani wa kupigana akiwa katika hali ile.

Usiwe mtu wa kukimbilia kupinga kitu ambacho hukuwahi kukifuatilia mkuu. Wewe ukiwa unapata muda kidogo, jaribu kuwa unapitia pitia hizi video na baadhi ya interview za mabondia wakubwa na wanamichezo mbali mbali wakimuongelea Muhammad Ali. Kila anaeongea anakiri kwa ulimi wake mwenyewe kuwa toka ulimwengu wa ngumi uanzishwe na mpaka pengine utakapoisha, hatopatikana bondia mwenye uwezo wa kumiliki ring ya ngumi kama Muhammad Ali. Haya sio maneno yangu, ni maneno yao mwenyewe ndomaana nimekuwekea picha ili uone namna ya kuzipata video hizo na kufahamu kile ninachoandika hapa.

Muhammad Ali he is a Goat. Aliukuta mchezo wa ngumi una zaidi ya miaka 200, lakini watu hawaufuatilii wala kuelewa. Yeye akauweka kwenye ramani na kuufanyia mambo makubwa mno mchezo huo zaidi ya mtu yoyote.
Muhammad Ali alikuwa ni mtu mwingine kabisa
 
Muhammad Ali alikuwa ni mtu mwingine kabisa
Safi kabisa, yani wewe ni kati ya watu wenye upeo wa hali ya juu katika ufuatiliaji wa karibu wa mchezo huu wa ngumi. Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae anaefuatilia ngumi hajui uwezo mkubwa aliokuwa nao Muhammad Ali ulingoni.

Hata bondia aliekuwa ana ngumi nzito zaidi pengine hata ya Tyson, na uwezo mkubwa wa kuangusha watu ulingoni katika prime yake Mr George Foreman aliwahi kukiri mwenyewe kuwa Muhammad Ali alikuwa mkubwa na mwenye uwezo kuliko hata mchezo wenyewe wa ngumi. Na alikiri kuwa Muhammad ni 'Greatest'.

George Foreman: The punches he did not hit me when i was going down made him the greatest of all time.

Hayo ni maneno ya bondia ambae aliwahi kupigana na mabondia wa uzito wa juu watano katika ulingo, na akawapiga wote kwa siku 1 na kwa wakati mmoja. Lakini pamoja na uwezo huo aliokuwa nao bado aliangushwa na Ali katika round ya 8 tu ya mchezo wao kwa KO.
 
Nikikumbuka pambano kati ya joe Frazier na big foreman, wote wakiwa kwenye ubora wao Frazier alipigwa kama mtoto, lilikua pambano rahisi sana kwa foreman. Wakati huo Joe alikua ametoka kumchapa Mohamed ali. Watu wakadhani foreman akikutana na ali anaenda kuua round ya 2, lakini mambo yakawa tofauti kabisa
 
Rocky alikuwa anapigana na mabondia wabovu mno, plus na rangi yake ilimbeba kwa kipindi hicho. Wacheza ngumi waliokuwepo enzi zake na wale wa baada ya enzi zake kama kina Tyson Furry, Lenox Lewis, Evander, Mike Tyson sio wajinga kukubali kuwa Ali ni GOAT, tena wameenda mbali kwa kusema kuwa Muhammad Ali alikuwa ni zaidi ya boxer.

Ni sawa sawa ni Pele kwenye mpira au Bob kwenye reggae, aliwakuta kina Peter Tosh wakiwa washafanya mambo makubwa, lakini Bob akaja na mabadiliko ya pekee, na yenye tija kuliko waliomtangulia.
Ngoja nikuache maana una ujinga mwingi.

Ila huyo Tyson ,Muhammad Ali alikuwa swahiba wake na ndiye aliyemshawishi hata yeye kubadili dini ,kwa hiyo kivyovyote lazima ampambe .
 
Nikikumbuka pambano kati ya joe Frazier na big foreman, wote wakiwa kwenye ubora wao Frazier alipigwa kama mtoto, lilikua pambano rahisi sana kwa foreman. Wakati huo Joe alikua ametoka kumchapa Mohamed ali. Watu wakadhani foreman akikutana na ali anaenda kuua round ya 2, lakini mambo yakawa tofauti kabisa
Kwa mujibu wa George Foreman mwenyewe alipohojiwa na kuulizwa kuhusu Ali, alikiri mwenyewe kuwa Muhammad Ali alikuwa ni mkubwa kuliko ukubwa wa mchezo wenyewe wa ngumi.

Hata huyo Joe Frazier alipigana na Ali mapambano matatu, ambapo kati ya hayo Joe kapigwa na Ali mapambano mawili, na yeye Joe akampiga Ali pambano moja tu.
 
Ngoja nikuache maana una ujinga mwingi.

Ila huyo Tyson ,Muhammad Ali alikuwa swahiba wake na ndiye aliyemshawishi hata yeye kubadili dini ,kwa hiyo kivyovyote lazima ampambe .
Kila unaloandika unaingiza udini. Yani wewe sijui una tatizo gani na dini. Pia sielewi faida unayoipata pale unapolazimisha kuingiza udini katika mambo yasiohusu udini.

Muhammad Ali alikuwa kipenzi wa kila mtu akiwemo Michael Jackson, mfalme wa soka Pele, kina Evander Holyfield, Lenox Lewis na mabondia wengine ambao wamekiri kumpenda Muhammad Ali na kujifunza mengi kupitia kwake.

Katika watu maarufu ambao walimpenda na kumkubali Ali asilimia kubwa walikuwa sio waislam, lakini kwa vile wewe una chuki na waislam basi umeacha kuwataja wote ukaamua ku deal na Tyson tena kwa kuingiza na swala la uislam wake.

Wewe inaonekana una chuki kubwa na waislam na kwa nchi kama Tanzania ambayo ina mchanganyiko wa watu wenye mafanikio wa dini zote ikiwepo hiyo ya uislam ambayo hauipendi nina imani utakuja kufa mapema kwa sababu ya chuki zako.
 
Obviously hujui boxing.
Achana nae huyo ana kitu kinachomfanya amchukie Ali, ukisoma comment zake moja moja na hasa ukiisoma aliyoandika katika comment namba 68 utaelewa ni kwanini toka huko juu anapingana na kila mtu anaemuelewesha kuhusu Muhammad Ali.
 
Kila unaloandika unaingiza udini. Yani wewe sijui una tatizo gani na dini. Pia sielewi faida unayoipata pale unapolazimisha kuingiza udini katika mambo yasiohusu udini.

Muhammad Ali alikuwa kipenzi wa kila mtu akiwemo Michael Jackson, mfalme wa soka Pele, kina Evander Holyfield, Lenox Lewis na mabondia wengine ambao wamekiri kumpenda Muhammad Ali na kujifunza mengi kupitia kwake.

Katika watu maarufu ambao walimpenda na kumkubali Ali asilimia kubwa walikuwa sio waislam, lakini kwa vile wewe una chuki na waislam basi umeacha kuwataja wote ukaamua ku deal na Tyson tena kwa kuingiza na swala la uislam wake.

Wewe inaonekana una chuki kubwa na waislam na kwa nchi kama Tanzania ambayo ina mchanganyiko wa watu wenye mafanikio wa dini zote ikiwepo hiyo ya uislam ambayo hauipendi nina imani utakuja kufa mapema kwa sababu ya chuki zako.
Kweli wewe ni taaahira.

Ninauchukiaje uislamu hali ya kuwa Mimi mwenyewe ni muislamu?
 
Kweli wewe ni taaahira.

Ninauchukiaje uislamu hali ya kuwa Mimi mwenyewe ni muislamu?
Sasa kama wewe ni muislam kulikuwa na sababu gani ya kuanza kuuhusisha uislam katika mada ambayo haikuwa inazungumzia habari za uislam?
 
Back
Top Bottom