Recent content by Mbandure

  1. M

    Mnijuze kipi cha maana hasa anachofanya Magufuli hadi viongozi uchwara wa upinzani wamuunge mkono kwa kujiunga na CCM

    Nikifika hapa napata mshituko kidogo kwani wakati nyarandu anaachia ngazi mlipiga makofi wala hamkukumbuka kuwa watu walilala vituoni wakisubiri kumpigia na sasa kawaacha wakiwa
  2. M

    Nampongeza Rais Khama wa Botswana

    Nani aseme wakati wote ni walewale
  3. M

    Robert Mugabe Ataacha kwa Hiari, Atarejea Ikulu Akiamua

    Toka lini Mugabe akapendwa na wazungu?
  4. M

    Lugha ya picha. Je, kuna ukweli wowote?

    Hapa hajasemwa raisi bali mwanasiasa labda kama lugha imepita kushoto
  5. M

    Chato haihitaji uwanja wa ndege wa kimataifa, inahitaji chuo kikuu au kiwanda kikubwa

    Hebu tulia kwa muda huu tunajenga nyumbani na kumbuka sipangiwi na mtu na ukinipangia ndo unaharibu kabisa
  6. M

    Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

    Una maana gani
  7. M

    Ipo siku tutamkumbuka Rais Dkt. Magufuli tunayemdhihaki kila siku katika mitandao ya kijamii

    Anajengaje msingi bila kubomoa na anapobomoa wanaoishi ndani ya hiyo nyumba wanaishi wapi! Nachokiona ni kuwa alikuta nyufa na sasa ameanza kubomoa kabisa na mwisho wa siku hii nyumba itaanguka na hapo ndo hata uwezo wa kujenga tena hatakuwa hana
  8. M

    Msekwa: Kitendo cha Nyalandu kutia nia kuhamia CHADEMA ni tayari keshajiuzulu, hayo mengine ni mbwembwe

    Kweli mmeishiwa! kila mnachofanya siku hizi mnachekesha. Sioni sababu ya kuwawekea watoto katuni bali hotuba za viongozi wa sasa wa CCM. Leo mnaongea hili kesho mnajipinga haya pambaneni na hali zeni ila msitikise ya kwangu
  9. M

    Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

    Kasome vizuri sheria ya ndoa sio kudanganya watu
  10. M

    Nyalandu: Sikupata barua yoyote ya kunifukuza

    Umeandika nini sasa!
  11. M

    Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

    In Muda wote huo hujapona mpaka unarudishwa!
  12. M

    Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

    Kumbe JF kuna mapunguani samahani kaka sikujua kama ndo uko njiani unapelekwa Milembe
  13. M

    Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

    Kama kitu hukijui kaa kimya sio kupotosha na zaidi jadili mada iliyo ubaoni
Back
Top Bottom