Nyalandu: Sikupata barua yoyote ya kunifukuza

Hata kama aliipata asingesema kaipata atapunguza nguvu ya kiki
Muelewe kuvuliwa uanachama ni mchakato unaohusu tuhuma na unapewa nafasi ya kujitetea' halafu maamuzi hauandikiwi tu barua.na kasema vizuri tu hayo ni malumbano yasiyo na sababu sijui ni ni hakieleweki
 
Mzee Kinana yuko wapi? Secretariat sasa inaongozwa na watu wasiojua hata taratibu za Chama. Baada ya Nyarandu kujiuzuti wanakurupuka ili ionekane hakukuwa na tatizo
kuna tetesi nayeye muda wowote anajivua gamba la nyoka
 
Kwamba nyie ndiyo wale wataalamu wa kuvunjwa miguu na mbavu huku wakubwa zenu wakiwaangalia kwenye tv mkononi wameshika juice ya sharubati
Ndio sisi mkuu,front liner .Bahati nzuri tunakuwa tumevunjwa sisi lakini matokeo mazuri yanamfaidisha mpaka wewe coward traitor ukiwa uvunguni. Free riders
 
mfa maji haishi kutapataps nyalandu hata ufanye nini una kesi ya kujibu zidi ya uhujumu uchumi
Mtujuze kahujumu kitu gani specifically, wengine hatufahamu.
Kweli katupiga bao huyu Nyalandu, lakini kwa hasira zetu tusiwe kama wale polisi wanaobambikia kesi wananchi wasio na hatia kwa kukosana lugha tu.
 
Kulikoni kwenye safu ya uongozi wa juu wa CCM, tokea kujiuzulu kwa Mr Nyalandu mpaka sasa chama hakijatoa taarifa kamili juu ya kujiuzulu kwa Mr Nyalandu. Mpaka dakika hii tumejione vibweka mbalimbali vikitoa taarifa kwa upande wa CCM.

Kwanza tulimsikia katibu wa uenezi na itikadi Mr Polepole akizungumzia kujiuzulu kwa Mr Nyalanda na kudai kwamba sio mtu muhimu sana katika chama , Hatukuwai kumsikia Katibu mkuu wa CCM akizungumzia suala la kusimamishwa wala kufukuzwa kwa Mr Nyalandu.

Mwisho tunamsikia spika Ndugai akitoa taarifa kwamba Mr Nyalandu amefukuzwa uanachama wa CCM. Mlolongo mzima wa matukio haueleweki .
Vipi CCM hamna msemaji au ndio mmepatwa na mshtuko
 
Kwani lazima taarifa ? Sio lazima chizi akichukua chupi yako ukiwa bafuni umkimbize
 
Back
Top Bottom