Recent content by Mbamjo

  1. Mbamjo

    Hatua za kuchukuliwa baada ya watu 20 kufa Moshi

    Mbna Maka wakienda kuhiji kuna miaka wakakufa kwa tatizo hilo hilo la kukanyagana wao Mbna hawaiti ujinga na upumbavu?hiyo ni ajali tu ndugu tusifurahie tatizo huyu ndugu alilolipata Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mbamjo

    Ogopa sana baadhi ya vijana wa Arusha. Wanasaundi za hatari sana

    Alokwambia wanatapeli ni nani? Wanamda wa kukushawishi kwa maneno?Unakula mabapa unampa kwa mikono yako mwenyewe.
  3. Mbamjo

    Vodacom becoming a very poor mobile service

    Alafu wanapandisha Ada za kutolea pesa kienyeji bila kutaarifu wateja
  4. Mbamjo

    Lissu atinga mahakamani kupigania ubunge wake

    We we ndo msemaji wa jimbo?
  5. Mbamjo

    Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

    Ila wanyarwanda wamejaaje Kahana wananunua mchele
  6. Mbamjo

    Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Tena mkuu Kuna maeneo yanarutuba Sana na kilimo Chao hawatumii mbolea
  7. Mbamjo

    Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Mkuu unaondoka iringa kwenda shinyanga mbali hivyo wakati mgololo iliopo iringa fursa kibao?
  8. Mbamjo

    Simiyu: Waganga wa jadi kutoka Gamboshi na Bariadi wadai kumloga Mwana CCM atakayechukua fomu kumpinga Magufuli

    Hapo ndo napopataga shida Sana watumishi wa MUNGU wanapojitokeza hadharani na kusema kwamba huyu mweshimiwa ni chaguo kutoka kwa MUNGU.
  9. Mbamjo

    Basi la Mwendokasi laua Raia Baruti ya Kimara

    Inatia huzuni Sana Leo ndo tumemzika mkoani mbeya kijiji cha ubaruku wilaya ya mbarali
  10. Mbamjo

    Badala ya watumishi wachache wa umma kulazimishwa kuwa na line ya TTCL, kwanini lazima hiyo isiwe kwa wanaccm ambao ni wengi?

    Kwa hyo hata kama huduma mbovu au gharama zake zipo juu tuangalie uzalendo?
  11. Mbamjo

    Hivi mbunge wa Arumeru Magharibi umefanya nini mpaka sasa?

    Tumepata shida ya maji kwa miaka hahaha hata kuangalia ukubwa wa tatizo mpaka AUSA ndo wamekuja kutusaidia baada ya kusikia vilio vyetu kupitia diwani
Back
Top Bottom