Wana jforum naomba kufahamishwa km foundation course inatumima miaka hii ya sasa na huwa inakuwaje kuwaje.??
NB jukwaa la elimu usijibu kidaku mbona majukwaa ya udaku yapo tu hujui kitu kaa pita kushoto kwenye huu Uzi watu wanashida ya kufahamu
Nimemaliza kidato cha sita nikapata ESS nikaapply cheti ualimu (grade A)
Je ntafika chuo kikuu kwa njia gani ??
Nifahamisheni Tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
Ingekuwa ICU
nasasa tungekuwa kwenye purukushani za kuwaondolea kinga baadhi ya wakuu wa nchi ili wakafungwe shubaaahamit
Jema lingekuwa moja tu hadi mwanangu angekuwa anaweza kumiliki efu kumi yake
Na mm ningekuwa fisadi
Chezea upigaji wewe
[emoji120] [emoji120] badala ya kusema ulivyomuelewa ambavyo ni tofaut na hoja zote hapo juu umeandika kisha umejificha nyuma keyboard toa facts mzee nn cjaelewa na nn kimemaanishwa
Hilo ni swali ambalo mh zitto anataka kila mmoja ajiulize mwenyewe katika nafs yake ( kuna sababu ya kutafakari) j
Je sababu za Hawa kuhama zipo ndani yetu ??? Swali hilo lilikuwa na maana sawa na unaxhouliza sasa ref: hapo juu
Point ya msingi ni kuunga mkono kilicho bora na chenye kuleta maendeleo na sio kuunga mkono upinza hata kama ni upinzani basi wenye maendeleo na sio wakupiga kelele tubadilike wapinzani
Tunajadili wapinzani ambao kila siku wanavutia katika maongezi yao ya kulalamikia hali ngumu maji nk vitu ambavyo kila mtu anajua ..... Na kuhusu sehemu ya majimbo ambapo hakuna wapinzani basi viongozi wanaweza kufata ushaur ili kufikia malengo
@zittokabwe ametoa ushauri kutokana na hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.