Nipo njia panda

Nipo njia panda

Notmiz

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
54
Reaction score
20
Shikamooni jamaai
Mi ni mwanafunzi wa kidato cha sita natarajia kumaliza form six next year kama MUNGU akinijalia....tatizo langu ni kwamba mi kwasasa nasoma combination CBG lakini kumekua na uvumi kwamba et yaani course za afya au vyuo vya afya hatuweZi Ku apply kwasababu hatuna physics.....dash hebu nisaidieni jamani. Maana nipo njia panda
 
Shikamooni jamaani
Mi ni mwanafunzi wa kidato cha sita natarajia kumaliza form six next year kama MUNGU akinijalia....tatizo langu ni kwamba mi kwasasa nasoma combination CBG lakini kumekua na uvumi kwamba et yaani course za afya au vyuo vya afya hatuweZi Ku apply kwasababu hatuna physics.....daah hebu nisaidieni jamani. Maana nipo njia panda
 
Mahaba mtoto nzuri haujambo eeeh!

Ulitaka usome nini wewe maana kozi za afya zipo nyingi?
 
Shikamooni jamaai
Mi ni mwanafunzi wa kidato cha sita natarajia kumaliza form six next year kama MUNGU akinijalia....tatizo langu ni kwamba mi kwasasa nasoma combination CBG lakini kumekua na uvumi kwamba et yaani course za afya au vyuo vya afya hatuweZi Ku apply kwasababu hatuna physics.....dash hebu nisaidieni jamani. Maana nipo njia panda
Usichanganyikiwe bana we soma umalize utajua mbeleni tu. Hakikisha tu unakomaa ufaulu vizuri na div 1. Hayo tu.
 
Kwani physics ya olevel hawawezi kuitazamia?
 
Kwani physics ya olevel hawawezi kuitazamia?
2f7155325839ab607be126bfb1a700e2.jpg

Licha ya TCU kuweka hivyo vigezo ila kuna vyuo vimechukua chini ya hizo 8points. Kikubwa pitia guide book uulize na wenzako waliopo first year utapata majibu ya kutosha.
 
Labda mwakani ila mwaka huu watu wa CBG hawakuruhusiwa ku-apply hizo programs
 
Kwani physics ya olevel hawawezi kuitazamia?
Wanaitizama na hata ukiwa na f ya phys bado wanakuchukua kwa kujua kuwa una basic knowldge ila inategemeana sana unaenda kusoma nini na umefaulu vipi
 
Kikubwa kaza uwe na principal pass za kukuwezesha kusoma university hapo utapata coz nying tu za afya
 
Marhabaa kijana

Soma kwanza upass kwa division za juu hayo mambo mengine yatakuwa ziada tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom