Msaada ualimu cheti>>>chuo kikuu

mbalazo docta

Member
Aug 7, 2017
44
95
Nimemaliza kidato cha sita nikapata ESS nikaapply cheti ualimu (grade A)
Je ntafika chuo kikuu kwa njia gani ??
Nifahamisheni Tafadhali
 

tomentosa

Member
Apr 14, 2019
47
95
Nimemaliza kidato cha sita nikapata ESS nikaapply cheti ualimu (grade A)
Je ntafika chuo kikuu kwa njia gani ??
Nifahamisheni Tafadhali
Ukimaliza cheti mwaka mmoja ,unajiunga na diploma ambayo ni miaka miwili na baada ya kumaliza diploma vizuri unaweza kuendelea na masomo ya shahada chuo kikuu.
 

Time Traveller

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
348
500
Nenda veta kasome ufundi wa AC za nyumba na magari then hamia dar es salaam utanishukuru baadaye
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom