Recent content by mbaga45

  1. mbaga45

    Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

    Mkabidhi Mungu.kama ni haki yako utaipata.we lia na Mungu wako
  2. mbaga45

    Taja Jina zuri Kwa mtoto

    Stanback Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mbaga45

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Get well soon kamanda Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mbaga45

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco.mbona bado kimyaaa kuhusu swala miliosema mnafuatilia. Umeme ktk kijiji ambacho wao huziona nguzo kama mapambo .Njooeni mtufungie trans4mer na cc.apa kwetu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mbaga45

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Hahahahhahah.lipo linakwenda dodoma mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mbaga45

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Hapana.ni bus sio lodge Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mbaga45

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Hapana.ninawagen wangu wa natakiwa kuondoka kuelekea Arusha.wanahitaji bus kama za shabb au kimbinyiko (full luxury ) hizi huwa zipo na first class na second class. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mbaga45

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Naomba kusaidiwa.ivi gari za kwenda Arusha kutokea Dsm.kuna "full luxury" Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mbaga45

    Kipimo cha kuipenda nchi ni katika magazeti ya kesho

    Kama kesho gazeti la lumumba lita kuwepo. Nunua ilo ikiweze kuwa na uzalendo ndug tramadol Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mbaga45

    Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma yatangaza nafasi za kazi 189

    Hahhahahahahahha. Umenikumbusha mbali aiseee.kumbe na wewe ulikuwepo pale.Tanzania inch yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mbaga45

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Ckiliza nyingne ya" ivi ama vile" Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mbaga45

    Nataka kuja Dar es Salaam, wajuzi wa maeneo nisaidie

    Apana.unalipa cku 2.zen u natafuta chumba.kitaa unapanga kwa 3 month.uku ukiwa u natafuta kazi.uku pesa ako ya kukaa lodge unafanyia mipango mingne Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mbaga45

    Nataka kuja Dar es Salaam, wajuzi wa maeneo nisaidie

    Hahahahhahahha Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mbaga45

    Nataka kuja Dar es Salaam, wajuzi wa maeneo nisaidie

    Mama kazi ni ngumu kuzpata zt.ata me nimesoma iyo iyo Procurement and Logistics Management. Toka miaka ya wahenga adi leo akuna kitu.nipo kitaa Karibu maana waswahili husema "bahati na mkosi wa mbwa uko miguu ni mwake" *nauli ni TSh. 400 adi 600.sio lazma card .karibu dsm Sent using Jamii...
Back
Top Bottom