Greenwood mtu na nusu Mwanangu. Ana bomba zake za uhakka sio kama Anthony. Greenwood ndo mchezaji pekee ambaye sasa hivi angetusaidia. Rashford anashuka kama Martial alivyoshuka. Misimu miwili mbele Rashford anakua hewa. Hatuna wachezaji wenye consistency misim mitatu hadi minne kwenye...
Kuna haja ya ku-revise vigezo vya kuwa mbunge. Vilivyopo havijitoshelezi
Mfano: Sasa hivi TAMISEMI kuna ubadhilifu wa Fedha za Uma, ATCL inakula hasara 5 Years consecutively, TPA kuna uchafu, Rushwa imetamalaki then CAG anapeleka report bungeni kujadiliwa na mtu alieishia darasa la 7...
Alaf Mbona Babu Tale anakua mfano kwenye mambo mengi ya msingi yahusuyo bunge?😂😂😂 Kama jimboni kwake wapo watu wa design yake mlitakaje?😂😂😂
Anyway This time anaweza toa hoja moja amazing na hamtaamin masikioni mwenu😂😂😂
Wakurugenzi hawahawa si ndo wa kipindi kile cha uchaguzi😰 Mbona waliwapa support nzuri tuu. Leo imekuwaje???😰😰😰
Dah! Never Trust Anyone Dunia hii asee
Ila ni sawa tuu😂😂😂
Rushwa ina madhara popote, inategemea inatolewa katika mazingira gani. Let’s say Rushwa inatolewa au inapokelewa ili tu asiye na vigezo kupata kazi fulani anatoa rushwa ili tu apate ile kazi, madhara yake ni makubwa mbeleni unless awe na uwezo mkubwa sana wa kazi regardless kukosa vigezo.
Balaa...
Kwanza rushwa ya ngono sio kwenye sekta ya Elimu tu. It’s almost kila mahali, kuna wakati nilisikia madaktari nao wanaipenda. Makazini huko watu wanapeana kila siku alafu unamwambia madam tunapambana na rushwa ya ngono😂😂😂 mwenyewe kaona hamna mantiki hapo.
Hii rushwa ni ngumu kuzuia. Kwa sababu...
Kwanza huo ni ushamba, kuna siku nimewah kuzima main switch (kwa wahenga zile main switch za zaman mtakua mnazipata. Zile za kuchomoa). Kam ni usiku nachomoa alf nalala, kama ni mchana nachomoa alaf naondoka
Badae wale majamaa wakachoka ile tabia ya umeme kukatik hovyo wakaondoka. Siku hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.