Du jombaa usiombe me nilikua nae tulikutana chuon niliish nae for1yrs,kwanza wanajirahisisha mno kila anaemuomba namba hakatai,ukimtongoza hana jibu la no,nilimvumilia bt mwishoe uzalendo ukanishinda,asa ivi anaisambaza kama kinyozi na cio kwamba maskin some tym ata vi200 vyake alivokua navo...
Wengi mnapenda sana post zenu watu wachangie ata kwa matusi!kujifanya mko karibu na wakuu kumbe wote wa kulekule,infor yenyewe inaonyesha kilichopo ndani nixxxx----
Me cio shabiki wa simba eti nimtetee ngasa bt samata du uzalendo hamna mpaka nafikiria wote wangekua mimi cku akikubali kuja tumzomee mpaka basi.we noin bwana kuna mastaa kibao tena na ela zao eg,etoo lkn wanawakilisha chama lao sembuse yy!pumbaaavu!
Kama ni jike test mziki wao kama ni mwanaume unawapondea kwa demu wako wasijekumegegea coz demu wako anashobokea weupe,mapenzi hayapimwi kwa ivo we niaje?
IQ equal to M.A/C.A ili kujua ugunies wa mtoto unaangalia matendo anayofanya na umri wake,thn kaa nae kama nusu saa upige nae story uangalie anavyojib na kuhoji baadhi ya vitu.pia ni kweli physical structure ya kichwa inawezakukuonyesha IQ ya mtu sana wale wenye ulemavu wa akili mf.autism,down...
kweli bongo matutusa kibao 2naongea isue za msingi mnaleta uchumba,nendeni mkapige mabusu viatu vya mabwana zenu ikulu cc 2lie na dogo apate loan na safe plac,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.