Recent content by Maziwa fresh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

    utasikia baby nikija kwako niandalie hela ya salon, ke wenye tabia hizo badilike, mi nikitoa sh 5 ujue kabisa na wewe namna ya kuizalisha siyo kutumia tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata zali toka toka kwa Liberian girl

    Mkuu utaliwa kekundu, kama umesoma kwa makini huo ujumbe, huyu tapeli umesema anatoka Liberia lakin soma alivyo andika: I want a guardian outside senegal where I can transfer this fund. :iamwithstupid:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Najuta tamaa mbaya

    Asante kwa ushauri wako mzuri PetCash
  4. M

    JamiiForums Tanzania Najuta tamaa mbaya

    Pole sana kaka yangu. Kwanza kabisa kama ulivyosema mwenyewe kuwa huyo binti ilikuwa tamaa tu na ni hakika kuwa hujawahi kumpenda. Sasa kwa ushauri mzuri tu ili uuthibitishie moyo wako kuwa wewe ni real gent..weka kikao na huyo binti kisha mueleze ukweli then akidai kuwa kwanini ulimdanganya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Najuta tamaa mbaya

    mimi mwanaume na sio mvulana @ Tamatheo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Najuta tamaa mbaya

    asante kwa ushauri Xfactor
  7. M

    JamiiForums Tanzania Najuta tamaa mbaya

    Atakaa miezi miwili
  8. M

    JamiiForums Tanzania Najuta tamaa mbaya

    habari zenu wana MMU Najuta kusema uongo na tamaa yangu ya mapenzi, mimi ni kijana wa kiume sijaoa nafanya kazi na kampuni fulani hapa rocky city. Mwezi januari nilihama sehemu niliyokuwa nimepanga nikapata chumba sehemu nyingine. Nilipohamia mama mwenye nyumba anaishi na mdogo wake wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    naomba ucheki majina yanayoanza na herufi Mw
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Private ni Wabovu kwenye Masuala ya Uhasibu

    wewe jamaa uliyepost huu uzi ni jinsi gani una mawazo mgando, nakufananisha na mtoto wa sekondari kitado cha pili anayesoma ili ashike namba 1 darasani. je katika utafiti wako wa kukaa chumbani na kutoa majibu ya kwamba vyuo vya private ni wabovu ulikusanya taarifa kutoka vyuo vingapi vya govt...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji

    kwa uzoefu wangu wa usaili TPDC wanafanya (written and oral, hence get prepared):welcome:
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

    mwenye kitambi umekunyima gegedo? mbona wale ndo watamu ukimkunja vizuri
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    mwenye kujua tafsiri ya kauli hii anisaidie mi binafsi sijaelewa kabisa:help:
  14. M

    JamiiForums Tanzania Graduated in 2011 Looking for a Job

    pole sana mkuu, kitaa kinabana sana ila komaa tu kutuma application one day YEs,
Back
Top Bottom