usaili ni oral, zoezi linaloendelea sasa hivi ni kuzi-register all application. Assistant inspector zimepokelewa application 5000, wameanza kuzi-register juma3 hii ya tarehe 03 march, kilasiku wanaregister application 200, it means it will take 25 days for registering all applications. Kila nafasi moja itashindaniwa na watu 5, maana yake ni kwamba kwa nafasi 70 zitashindaniwa na watu 350. Shortlist tusubirie kwanza mpaka watakapomaliza zoezi la kuziregister kwanza then ndiyo waanze kuangalia nani anakidhi vigezo zaidi ya wenzake.