xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
Mwambie gegedo lako la sasa kuwa huwezi endelea kuwa kwenye uhusiano naye sababu mpe hiyo ya hayo maongezi na dada yake.Mwambie haya "huna mpango wa kuoa karibuni sababu una mambo inabidi uyatimize hvyo kulingana na maongezi ya dada yake anaonyesha kutaka muwe kwenye mahusino ambayo yana uhakika wa ndoa wakati wewe hupo tayari kwa hilo kwa kipindi cha karibuni"
Wakati huohuo huku kwa huyo anayekuja field (kweli dada zetu wajasiri,hapo kaaga kwao anenda filed Jumbe yupo kwa bf),aanza kutengeneza mazingira ya fitna,mwambie kuwa mdogo wa mama mwenye nyumba a nakutaka na anakusumbua wakati wewe humtaki.Hii itakusaidia gf wako kutoshtuka endapo itatokea dada na mdogo wake watampa umbea pindi atakapokuwa anakaa kwako.