Recent content by Mayotte

  1. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na mwanamke barabarani, nikaparamia sinia za karanga, sikuwa na pesa mfukoni!

    Hahahaha daah ww jamaa bhana
  2. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Je, unaziona ndoto zako rohoni?

    Kila nikianza urafiki na Mshikaji yeyote yule tukawa close hasa urafiki wa kikazi rafiki huyo anafanikiwa mm nabaki palepale. Cha kushangaza Mara baada ya kufanikiwa urafiki unakufa,na sababu ya urafiki kufa ni gap LA kipato baina yetu linaloweka barrier. Nasononeshwa na hali hii kiasi naogopa...
  3. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Baasii usimalize kusemaa,kwani ukiendelea moyo wangu unauchomaa.. Story hiizi,Ndio mana unaona nimeshika tamaa..kama kifaranga aliekosa mamaa.. R.I.P Savanna Lounge we miss you..
  4. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Sijielewi, "Personalities" zangu zinanichanganya

    Nakushauri LIVE YOUR LIFE Hakunaga binadamu aliependwa na watu wote duniani humu,huyo hayupo.. Hajawahi tokea na wala hatokuja atokee.. Yesu,Muhammad, Mussa nk pamoja na kuwa walikuwa karibu sana na Mungu na kufanya mema na mazuri,lakini bado hawajahi kupendwa na watu wote. Hadi Leo hii kuna...
  5. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Tufahamisheni ya Morogoro Mjini na Viunga vyake; Utamaduni, Biashara na Fursa.

    Tatizo LA Moro kisomo ndio shida kwa wazawa,ila ni mkoa wenye fursa kibao.
  6. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Taj Mahal: Urithi wa dunia, taji la Malkia lililosimama tangu karne ya 17

    Umaskini Mbaya sana,wenzetu wazungu wanakuja kwetu kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini mwetu,ila sisi tunaishia kusoma tu.
  7. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Nadhani nimesahau kukasirika

    Mbona kama unaniongelea mm mkuu!?
  8. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Ww ni mpumbavu sana,you're too negatively huna jema..huna lengo LA kujenga..huna LA maana uliloshauri lifanyike zaidi ya kukosoa kwa chuki,wivu na husda. Waziri MChengerwa ni miongoni mwa Mawaziri bora sana ktk serikali hii..hazungumzi kwa kumuonea MTU,wala kumpendelea MTU. Waziri Mchengera ni...
  9. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    I will be back
  10. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    I will be back
  11. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Usichukulie poa, nyumba ni choo

    Kama hili au?
  12. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Fukwe za bahari zisizokuwa na kiingilio jijini Dar es Salaam

    Mtumishi unataka ukasafishe macho??Safi sana bhana Mungu ameumba lazima kujali kile alichokifanya
  13. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Unafikiri lawama zake za kipuuzi zinaweza kubadili chochote kile??ndio mana nikamshauri jambo LA maana awatafutie watoto wake ugali kuliko kupoteza muda kwa mambo yaliyo juu ya uwezo. Hilo LA ugali ndio LA maana sana kwake kuliko hizo nyenyenye zake zinazompotezea muda bure.
  14. Mayotte

    JamiiForums Tanzania Tuitafsiri hii ndoto

    Hiki ulichoandika hapa ndio ndoto yenyewe tena ya mchana baada ya kuvimbiwa ugali na mharage mixer kisamvu. Hakuna Mbwa yeyote anaethubutu kufanya kama hayo maji taka yako uliyoandika. Akili kubwa iko advance sana,kabla hujawaza hayo wenzio wana majibu nayo tayari.
Back
Top Bottom