Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,020
- 3,372
Iweni hodari katika kulijenga Taifa tukufu la Tanzania. Wasalaaam ndugu zangu[emoji120][emoji120]
Bila ya kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.
"Sijielewi" naam ni kweli sijielewi silipingi hilo ndani ya nafsi yangu najishuhudia mwenyewe kwa dhati kabisa na hii ndiyo sababu ya kuandika huu uzi.
Kuna muda nakuwa mtu wa haki sana, nasalimu wazee, nawachangamkia,nawasaidia na kufurahi pamoja nao. hii ni kwa maeneo ninayokaa na kwa sehemu ninazo tembelea.
Kuna muda nafurahi na marafiki na watu wa karibu na marafiki zangu, nawasaidia na kufanya kila kilicho kizuri pamoja nao hii ni kwa maeneo ninapokaa na maeneo ninayotembelea.
Dosari inakuja pale ambapo nabadilika na kuwa wa aina tofauti na mwanzo. Hali hii hustahimili muda mrefu kuliko vile ambavyo na kuwa mtu wa haki.
Napungukiwa na moyo wa kufurahi na marafiki mara nyingi zaidi ya vile ambavyo nakuwa na huo moyo.
Namshukuru MUNGU amenipa moyo wa huruma kuwasaidia watu lakini kwa muonekano wa sura yangu ambao hudumu kwa muda mrefu huleta hisia za woga na chuki kwa baadhi ya marafiki na kusababisha kutokuniambia shida zao. Hapa huwa pananiuma sana and there's nothing I can do to myself.
Hii hali imepelekea mgawanyiko wa watu wanaonizunguka, mfano kuna marafiki zangu wananiona ni mtu mwema na wa haki na baadhi ya wazee wamekuwa wakinisema kuwa nina tabia njema lakini pia kuna baadhi ya marafiki na wazee wanazungumza tofauti (vibaya).
Hii hali inaniumiza sana and there's nothing i can do to myself. Honestly speaking nahitaji msaada wa mawazo nifanyaje?
Nahitaji muendelezo mzuri wa tabia njema japo naona nashindwa kabisa, au kama watu wa aina hii wapo na mim nikiwa mmoja wapo, nifanyeje ili niweze kuishi pasipo kuwa na msongo wa mawazo nilio nao?
Naomba kuwasilisha[emoji120][emoji120]