Relax bro. Kama nae mzungumze akuambie kwann alikusaliti. Usibweteke na kusifiwa 6×6 Hakuna ambae hasifiwi labda hadi mkigombana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna urazima kujaza mkataba lkn kama vip waulize ili ujue kabla ukapiga kaz kumbe kunawatu wanataka mpunga wako. Elewa kwanza usije kujaza mkataba kama wachezaji soccer wa Bongo Tz.
Mkuu umejitaidi kupanga hayo makundi lkn nimeona kama haukua free. Imean hisia zako zipo kwa watia nia fulan. Maana kuna ulowapanga mahari sipo kabisaaa.
Kweli kaka japo kocha sio ishu kwenye Timu yetu.Ile timu sio ya Ushindi kabisa bora hata alivyotaacha Maximo kuliko sasa. Inatakiwa kujipanga sana ili kuleta ushindani. Sikuangalia game but nilitegemea kipigo zaid ya hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.