3
Kilomita 18, kutoka kijiji cha Chiro, Abbas Jembe alikoroma kitandani mwake kwenye jumba lake la kifahari, jijini Arusha.
Chumba kilikuwa kipana mno, vitanda 12 vya sita kwa sita vingeenea endapo vingepangwa sambamba. Kushoto mwa kitanda chake, kulikopaswa kuweko ukuta wa nne, kulikuwepo...