Recent content by mawenge

  1. M

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Natumia Samsung J4 nikitaka kuinstall hiyo GCAM settings inanambia t'here was a problem while parsing the package'.Naomba msaada
  2. M

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUONDOA ADS KWENYE SIMU

    Hii Adclear inasema haiwezi ondoa ads kwa 100%
  3. M

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUONDOA ADS KWENYE SIMU

    Sijaroot kiongozi ngoja nijaribu hiyo option
  4. M

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUONDOA ADS KWENYE SIMU

    Wadau simu yangu inanisumbua, inaleta matangazo mengi mpaka inanifanya niichukie simu. Nimejaribu vitu kadhaa nimeshindwa kuyaondoa. Naombeni msaada tafadhali.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnao penda Horror movies

  6. M

    JamiiForums Tanzania YANGA YAPIGWA FAINI NA CAF

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeipiga faini ya dola 5,000 Klabu ya Young African kwa kosa la kuchelewesha mchezo baada ya wachezaji wake kumzonga mwamuzi wakati mchezo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya GD Sagrada Esperanca uliofanyika Angola Mei...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Moise Katumbi Sasa Autaka Uraisi

    Nasikia Kaka yake si alikimbia Congo akabaki yeye. Naona na yeye anataka kuleta fyoko fyoko
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA:NAHITAJI RECUVA SOFTWARE

    Ahsante sana mkuu. Mungu akubariki.
  9. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA:NAHITAJI RECUVA SOFTWARE

  10. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA:NAHITAJI RECUVA SOFTWARE

    Salam wakuu. Nahitaji mwenye link ya hiyo software anisaidie ili niwe narudisha file nilizofuta kwenye pc.
  11. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA:NAHITAJI RECUVA SOFTWARE

    Salam wakuu. Nahitaji mwenye link ya hiyo software anisaidie ili niwe narudisha file nilizofuta kwenye pc.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni sodoma na gomola

    Ilikuwa inaitwa Sugaray kabla ya mmiliki wa Kisuma kuwekeza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Ndio maana Wakati ule wa sekeseke la kumfukuza Amani Karume CCM akasema ikulu ipo katika kiwanja Chao na wana hati.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi Supermarket wafunga biashara Tanzania na Uganda

    Nadhani walitaka kukua kabla ya umri!.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila

    Chahali are you sane?
Back
Top Bottom