Moise Katumbi Sasa Autaka Uraisi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Rais wa klabu maarufu katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo TP Mazembe, Bw Moise Katumbi sasa anataka kuwa rais wa nchi hiyo kubwa ya Afrika ya kati.

Bwanyenye huyo maarufu, ni mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu unaoratibiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu.

Katumbi ambaye amewahi kuwa gavana wa jimbo tajiri zaidi nchini humo la Katanga alijiuzulu na kuwa mpinzani mkuu wa Rais Joseph Kabila.
 
Huyu bwana nadhani angeachana na siasa na ajikite kwenye biashara zake maana uraisi wa Kongo hauna tofauti na hukumu ya kifo.....
Mkuu labda huyu jamaa anataka awe mkuu wa kaya ili aondoe hio hukumu ya kifo.
 
huenda Ikulu ndio kwenye biashara zote
Kwa upande mwingine naweza kukubaliana wewe kwani kushika nyadhifa kubwa ndani ya nchi ya Congo kunakupa fursa nzuri ya kutanua biashara zako....ukirejea kipindi alipokuwa gavana....inawezekana ni nyakati ambazo biashara zake ziliimarika sana....kwa hiyo labda ameona kuna nafasi ya kukuza biashara zake kwenye kiti cha uraisi kwani hata Kabila mwenyewe inasemekana kuwa ana utajiri wa kutisha baada ya kukaa kwenye kiti cha uraisi.......
 
Hapa naona ule msemo wa kumbi kumbi kuota mabawa na kujona amekua anaruka kwenda huko, mwisho wa siku ni kupotea.

Angekuwa na washauri angeachana na habari ya kugombea urais, tena katika kujiimarisha zaidi angempigia kampeni rais anayeonekana kushinda.
 
Hata mimi ningepata nafasi ya kuongea nae ningemshauri aachane na hizo mambo....kwani kwa uzoefu inaonyesha kuwa siasa za Congo zimejaa chuki na visasi....kujiingiza kwenye siasa nchini Kongo kuna maanisha kuwa umejiingiza kwenye matatizo.....
Atawezaje kusimamia biashara zake huku akiwekwa bize na purukushani za siasa za Kinshasa.....???

Inawezekana kabisa kwa akili ya mfanyabiashara hapo atakuwa ameona fursa kwenye kiti cha uraisi hadi kuwa kipifu asiione hatari ya kukaa hapo....
 
Nasikia Kaka yake si alikimbia Congo akabaki yeye. Naona na yeye anataka kuleta fyoko fyoko
 
Hata mimi ningepata nafasi ya kuongea nae ningemshauri aachane na hizo mambo....kwani kwa uzoefu inaonyesha kuwa siasa za Congo zimejaa chuki na visasi....kujiingiza kwenye siasa nchini Kongo kuna maanisha kuwa umejiingiza kwenye matatizo.....
Atawezaje kusimamia biashara zake huku akiwekwa bize na purukushani za siasa za Kinshasa.....???

Inawezekana kabisa kwa akili ya mfanyabiashara hapo atakuwa ameona fursa kwenye kiti cha uraisi hadi kuwa kipifu asiione hatari ya kukaa hapo....
Huyu jamaa hii karata nafikiri amechanga vibaya. Nilishawahi kwenda Katanga wakati jamaa akiwa Gavana kule. Kwa mujibu wa wenyeji walikuwa wanasema mwanzo alianza vyema, lakini muda ulivyokuwa unasonga akaanza kutumia Cheo chake na kunufaisha biashara zake. Akajimilikisha migodi na tender za nguvu. Ilifikia wakati akatofautiana na Jóse K...aliitwa Kinshansa akapigwa biti. Aliporudi Katanga akatangaza kujiuzuru Siasa. Sasa sijui kimempata nini au anajiamini nini sasa hivi mpaka kuutaka URAIS!!?
Jóse hawezi kumuachia nchi Huyo mpiga Dili ....Patachimbika.
 
siasa ni jambo pana sana,anyway haki yake ya msingi,wakina trump wengine hao wa africa...
 
Huyu jamaa hii karata nafikiri amechanga vibaya. Nilishawahi kwenda Katanga wakati jamaa akiwa Gavana kule. Kwa mujibu wa wenyeji walikuwa wanasema mwanzo alianza vyema, lakini muda ulivyokuwa unasonga akaanza kutumia Cheo chake na kunufaisha biashara zake. Akajimilikisha migodi na tender za nguvu. Ilifikia wakati akatofautiana na Jóse K...aliitwa Kinshansa akapigwa biti. Aliporudi Katanga akatangaza kujiuzuru Siasa. Sasa sijui kimempata nini au anajiamini nini sasa hivi mpaka kuutaka URAIS!!?
Jóse hawezi kumuachia nchi Huyo mpiga Dili ....Patachimbika.
Mimi naona bora hili suala angeachana nalo tu....
 
Ni kweli kabisa. Maana tayari wameshaanza kufukua madudu aliyofanya akiwa madarakani. Kuna kampuni inaitwa Tenke Fangurume Mining inasemekana ndani ya kipindi cha miaka mitatu Moïse akiwa Gavana waliipa TP Mazembe karibia $ 2 million chini ya meza na wana ushahidi wa Bank Statements. Yale Yaleeeee.
 
Wanamvua nguo.....utajiri wa nchi za kiafrika ulivyowamagumashi ni bora angetulia tu....na kuafanya biashara zake....
 
Ni chotara wa kiisraeli, na kwa kipindi kirefu amekuwa akishirikiana na wafanyabiashara wa Israeli katika utafiti wa mafuta na biashara za uchimbaji madini nchini humo. Kwa hiyo ana ushawishi kiasi fulani ukizingatia siasa za Kongo zinavyokwenda, ambapo hata rais aliyepo madarakani kuna madai ya kuwa ni pandikizi kutoka nchi jirani.

Baada ya kupinduliwa Laurent Kabila, kwa nafasi kubwa serikali ya Kongo inaongozwa na raia wa kigeni kuanzia ikulu hadi kwenye majimbo. Mwanasiasa aliyekuwa na harakati za kuirudisha Kongo kwa wakongomani alikuwa ni Jean-Pierre Pemba, ambaye amefungiwa na mahakama ya ICC kushiriki siasa za Kongo.
Actually jamaa baba yake alikuwa ni Mgiriki, Ila alikuwa na traits za Israel kwa mbali.Hapo kwenye Uisraeli nako kutamuangusha....kuna issue niliikuta kule kuhusiana na masuala ya Uvuvi wa Samaki katika Ziwa Moero. Jamaa ni mfanyabiashara parse. Ogopa sana mfanyabiashara anayeingia kwenye Siasa ..ni hatari kuliko MwanaSiasa anayeingia kwenye biashara.
 
Jews wamechachamaa kutaka madaraka kila kona.... US tuna Bernie Sanders, na kongo Katumbi naye anataka? Hii hatari
 
Kwa upande mwingine naweza kukubaliana wewe kwani kushika nyadhifa kubwa ndani ya nchi ya Congo kunakupa fursa nzuri ya kutanua biashara zako....ukirejea kipindi alipokuwa gavana....inawezekana ni nyakati ambazo biashara zake ziliimarika sana....kwa hiyo labda ameona kuna nafasi ya kukuza biashara zake kwenye kiti cha uraisi kwani hata Kabila mwenyewe inasemekana kuwa ana utajiri wa kutisha baada ya kukaa kwenye kiti cha uraisi.......
Sio inasemekana,Kabila ni tajiri mkubwa sanaaaa
 
Back
Top Bottom