Recent content by MAWAZO JUNIOR

  1. M

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    jamani ni hivi MH. IDDI AZZAN ni mbunge wa KINONDONI na MH, MUSA AZZAN ZUNGU ni mbunge wa ILALA na ndiye anakaliaga kiti cha spika wakati fulani
  2. M

    Polisi wapiga mabomu ya machozi kabla ya mkutano wa Chadema kufanyika

    Una maana hata mwigulu alimtengeneza vile musa tesha ili apate kumuonyesha kwa wananchi wakati wa kuomba kura?
  3. M

    HOJA YA MNYIKA YAPITA BUNGENI- Viva Mnyika

    kwan hujamjua huyo ni nani? toa b weka k utapata jibu!
  4. M

    Ni kweli vurugu za Arusha wanachuo wawili wamefariki?

    hawawezi kutu UPDATE kwa kuwa vipakato vyao vimekwapuliwa na wanaojiita watuliza ghasia! labda waende INTERNET CAFE!
  5. M

    PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

    mkuu mbona yule jangili na mwenzake nepi walikuwa wanawatoa watoto mashuleni na kuwavisha nguo za kijani siku hizohizo za kazi? au CHADEMA ndo hawaruhusiwi kufanya mikutano siku za kazi? KWA MTINDO HUO HATA HIZO EFU 7 ZA LUMUMBA unaweza kuzikosa kama hautakuwa makini na kazi yao waliyokutuma!
  6. M

    CHADEMA na TBC kunani?

    hata wasipoitwa na hao TBCCM ukweli utafahamika tu! sasa hivi tbc ni kama uhuru fm zoteniza chama tawala!
  7. M

    RC Kone ameshindwa kazi, apumzishwe

    huyu rc ni wa ajabu xaaaanaaaa,aliwahi kutangaza kuwa akiona mwananchi yeyote amelima mahindi ndani ya mkoa wake atayafyeka,cha kushangaza baa la njaa likija chakula cha msaada kinacholetwa ni mahindi, sasa siku moja aliulizwa mbona unatukataza kulima mahindi unataka tulime mtama na uwele tu...
  8. M

    JWTZ: Msemaji wa Jeshi, Kanali Mgawe atoa kauli kuhusu Jeshi kulinda amani nchini

    mi nilijua wanatest vifaa kwa ajili ya kupigania ziwa le2 lisichukuliwe na malawi kumbe wanaitishia CHADEMA duuuuh hii nchi tunaelekea wapi lakini? MUNGU 2SAIDIE!
  9. M

    CUF maji ya shingo kesi ya kukaidi Amri Halali ya Mahakama

    mkuu mahakama ilizuia kikao ambacho kilikaa kumjadili mh.HAMAD kutokana na pingamizi ambalo aliliwasilisha katika mahakama hiyo,taarifa ilipelekwa chamani kabla siku ya kikao na hata siku ya kikao walionyeshwa hati ya mahakama kuzuia mkutano huo ila walipuuzia na wakaendelea na mkutano na...
  10. M

    Kesi ya dawa za Kulevya: Mwintanga aachiwa huru

    mbona hao mabondia walishaachiwa huru kitambo! mmojawapo ni EMILIAN PATRICK yule ambaye waTZ walishaanza kumchangia pesa ili akawakilishe vyema ktk mashindano ya OLYMPICS kule BEIJING mwaka 2008,ndo wakati anaenda kufanya maandalizi MAURITIUS akakumbwa na mkasa huo ila sasa yupo uraiani kitambo...
  11. M

    Ripoti ya Mauaji ya Mwangosi yakera; Kamati ya Nchimbi hoi!

    Hivi ule mpango wa kuishtaki serikali kwenye mahakama ya ICT kule THE HAGUE uliishia wapi jamani? hivi vitu kweli vinakera na wanafanya hivi wakijua kwamba hatuna namna yoyote tunaweza fanya kama sio kuwaachia wao wajihukumu wenyewe na vyombo vyao vinavyowatumikia.MUNGU TUSAIDIE WATANZANIA...
  12. M

    Mbeya: Soko la Uyole liwaka moto

    mkuu ungetyafuta hizo taarifa kwanza afu ndo uje uweke uzi huu,kichwa cha habari hapo juu kimeonesha una uhakika na tukio kumbe na we mwenyewe unaomba kujuzwa lol! WATANZANIA tuna kazi kubwa kweli kweli!
  13. M

    LEMA ni zaidi ya MALEMA!

    A GREAT THINKER? rudisha hela za nepi alizokupa mana kazi yake umeshindwa kuifanya kwa ufasaha,NO RESEARCH,NO CORRECT DATA NO RIGHT TO SPEAK.mkajifungie tena pale lumumba mjipange upyaa!
  14. M

    Haya ndiyo majibu aliyoyapata Mtatiro facebook

    ngoja niingie FACEBOOK nimsake nimpe makavu yake siwezi kulala bila kumpa ukweli wake huyu kada wa NYINYIEMU B
  15. M

    Ufafanuzi wa kilichotokea Uchaguzi Meya Mwanza...

    mkuuu usimshangae huyo ni aina ya wanachama wa magamba waliopo hivi sasa,hajui hata meya anaongoza manispaa wakati jerry slaa wanamwita mstahiki meya kwa kuongoza manispaa ya ilala,halafu eti naye anajiita GREAT THINKER mh ama kweli nyinyiem inachangia kufifisha ubongo wa wanachama wake na...
Back
Top Bottom