Recent content by Mawaiba

  1. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli viwanja vya Majimaji, Songea

    Big up Mwigulu Nchemba...
  2. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Dunia imeisha:Babu amuoa mjukuu wake

    Ya kweli haya lakini jamani..!?
  3. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Mabinti msio ndani ya ndoa, ndoa nyingi za matajiri ni utata mtupu msihadaike!

    Si michepuko ipo jamani? Kama yupo anaekutana na adha hii ani PM nimsaidie...
  4. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza kashata

    Habari za wiki end wakuu. Kama nitakuwa nimekosea katika kuziita 'kashata za ubuyu', basi naomba mnielewe nichomaanisha. Nasikia huwa zinatengenezwa kwa kutumia unga wa ubuyu, huwa watoto wanazipenda. Shida yangu nikuomba kama kuna anaejua jinsi ya kuzitengeneza anijuze, yaani mchanganyiko wake...
  5. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Microsoft Access Database: Nimeshindwa ku-format Field Property ili niki-type namba kwenye field hus

    Nina andaa db kwa ajili ya project nayotegemea kuanza kuifanya soon, lkn siko compitent sana kwenye access.
  6. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Microsoft Access Database: Nimeshindwa ku-format Field Property ili niki-type namba kwenye field hus

    Asante sana kiongozi, tatizo limekwisha...
  7. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Microsoft Access Database: Nimeshindwa ku-format Field Property ili niki-type namba kwenye field hus

    Karibu sana kiongozi. Nakukumbuka bro...
  8. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Microsoft Access Database: Nimeshindwa ku-format Field Property ili niki-type namba kwenye field hus

    Hapana. Najaribu kuitafuta hiyo double, ni kwenye field size au? Ooo.. Waw..! Asante iko poa bro. Thanks a lot.
  9. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Microsoft Access Database: Nimeshindwa ku-format Field Property ili niki-type namba kwenye field hus

    Habari za kazi wana jamvi. Kwa utangulizi tu napenda niwajulishe kwamba field ninayoizungumzia hapa ni Table Field, na version ya database ninayoifanyia kazi ni Office 2010 (file format: accdb). Kama nilivyotangulia kuelezea kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni kwamba hatua nilizo...
  10. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Watanzania kuleni nyama ya panya ina vitamini adimu mwilini

    Sijui kwa nini hawakuweka na ishu ya kiti moto hapa..., maana naona hutu tu-ndezi ni tudogo sana, halafu kwenye the KITI huwa wakunaga ubishi ubishi; yaani ungeona mada inapita kiulaiiini...
  11. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Whole Fast Food Business with Clientele, furnitures and everything for SALE.

    Rent ya nini tena hapo?
  12. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Lindi, Mtwara na Ruvuma mtaendelea kuwa masikini mpaka Yesu atakaporudi

    Tatizo la kufanyia kazi vijijini, fanya jitihada usogee mjini kidogo utagundua makosa makubwa sana ya tathmini yako. Kwani unataka kuniambia walioibadili Dar es Salaam mpaka ikawa vile ni Wazaramo? Tuliza akili kiongozi, ukifanya utafiti wa kina unaweza kugundua kwamba kumbe kwenu kuko nyuma...
  13. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Lindi, Mtwara na Ruvuma mtaendelea kuwa masikini mpaka Yesu atakaporudi

    Unajua kwamba huyo SUGU unaemtaja alisoma Mtwara?
  14. Mawaiba

    JamiiForums Tanzania Lindi, Mtwara na Ruvuma mtaendelea kuwa masikini mpaka Yesu atakaporudi

    Hivi MSALANI maana yake ni CHOONI eee?
Back
Top Bottom