Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 151
Habari za kazi wana jamvi.
Kwa utangulizi tu napenda niwajulishe kwamba field ninayoizungumzia hapa ni Table Field, na version ya database ninayoifanyia kazi ni Office 2010 (file format: accdb).
Kama nilivyotangulia kuelezea kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni kwamba hatua nilizo zipitia katika kujaribu kufikia lengo langu ni hizi:-
Kinachotokea baada ya hatua hizo ni kwamba kila ninapo-type namba kwenye field hii napata matokeo tofauti na makusudio yangu. Yaani, kwa mfano, niki-type namba ili isomeke 23.45 kwenye control (text box), kisha nikabofya enter ili kuisogeza hiyo control namba inayo bakia kwenye cell husika inasomeka 23.00 badalaya 23.45 niliyoi-type. Baada yakuona nashindwa kufanikiwa kwakutumia Standard nimejaribu pia kwa Fixed na General number formats lakini bado nimeshindwa kufikia lengo langu.
Tafadhali kama kuna mtu anaeweza kunipa maelekezo ya ziada yanayoweza kufanikisha lengo langu naomba anisaidie. Natanguliza shukrani nyingi kwenu na ninawatakia kazi njema.
Asanteni.

- Ikiwa katika Design View, pale kwenye field property grill, nili-set Data Type kuwaNumber, kisha nika-format Number kuwa Standard na decimal places 2.
- Ø Baada ya hatua hizo nika-Save Changes kisha nikarudisha table hiyo kwenye Datasheet View.