Whole Fast Food Business with Clientele, furnitures and everything for SALE.

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
984
1,000
Connies fast food as a whole business that includes the clientele, furnitures and everything in the restaurant is currently for sale.


It is opposite massana hospital along side goba road. Less than 3 min to the main road bagamoyo road. Good area for business.


Cost is 18 million.

Contact: 0782 040 423

 

Attachments

 • photo1.jpg
  File size
  53.7 KB
  Views
  4,790
 • photo2.jpg
  File size
  63.3 KB
  Views
  4,674
 • photo3.jpg
  File size
  56.4 KB
  Views
  4,519
 • photo4.jpg
  File size
  50.4 KB
  Views
  4,493
 • photo5.jpg
  File size
  52.5 KB
  Views
  4,387

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
421
225
Binafsi nina ndoto za kumiliki migahawa ya kisasa kama hii.Japo uwezo wa kiuchumi hauruhusu kwa sasa lakani naweza kuonyesha hamasa yangu kwa kuweka kwenye blog yangu na facebook page The Focus Today

Wahusika nitafteni
 

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,839
2,000
mkuu ukinunua kuna rent ya kulipa kila mwezi au inaconculde kila kitu?
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,384
2,000
Connies fast food as a whole business that includes the clientele, furnitures and everything in the restaurant is currently for sale.


It is opposite massana hospital along side goba road. Less than 3 min to the main road bagamoyo road. Good area for business.


Cost is 18 million.

Contact: 0782 040 423

Du!, huwezi amini naishi mitaa hiyo, na hiyo ndio njia yangu kila siku, hilo jengo naliona ila leo ndio nimejua kumbe kuna restaurant!. Unapouza bussiness nzuri kama hii, tena iko kwenye strategic place kama hapo, pia give reasons to sell, otherwise unachotuambia ni kuwa uli invest hiyo 20M plus kuanzisha hiyo bussiness hapo, ime happen hailipi!, hivyo unachotaka kufanya is to salvage kilicho chako na kumuuzia msala mtu mwingine?!.

Kwa maoni yangu, hapo ni mahali pazuri kwa biashara hiyo na mbezi yote kuanzia Tangibovu hadi Africana, hakuna fastfood yoyote ya maana, cout out ile ya Shamo, kama mimi ninayeishi hapa ndio nimejua leo, what about wasiopita hapo?!.

Watembelea wagonjwa sio good spenders kwenye fast food!, biashara ni matangazo, weka matangazo watu wa mbezi wa class hiyo wote wataishia hapo!, mfano hata ukiuza tuu burger kama zile za ile petrol station ya pale Morroco, utawin sana!.

By the look I wish I could buy that, but very unfortunately silo business line yangu!.

Nimeipenda lakini!.

Pasco
 

Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
1,225
Rent lazima ulipe kataja vi fenicha na vyombo na jina maybe, kodi utaambiwa na mwenye nyumba.
Nice place yes, but market.... Pia barabara inakuwa blocked na clients wa Massana kiasi sijui kama ana parking nzuri. Kwa eneo lake angeweka mgahawa au grocery ya kawaida vyakula mchanganyiko angepata but fast food in a low density area not so applicable kwani hawa watu wanaenda kula kwao na wakitoka outing watakula hapo ila vyakula vya asili vinapendelewa zaidi mfano mchemsho na nyama choma na sio fried food. Mf Engen kuna Merry Brown lakini watu wanajaa Nguruko kula vitu vya kawaida au China Town. Fast food nafikiri zinafaa maofisini mtu anabeba ale au amletee mwingine ila kwenye makazi ya watu sidhani.
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,299
2,000
Kwa maoni yangu, hapo ni mahali pazuri kwa biashara hiyo na mbezi yote kuanzia Tangibovu hadi Africana, hakuna fastfood yoyote ya maana, cout out ile ya Shamo, kama mimi ninayeishi hapa ndio nimejua leo, what about wasiopita hapo?!.

Mkuu kumbe hujui kuwa MERRY BROWN wako pale ENGEN ilipokuwa BARCELOS zamani?
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,384
2,000
Mkuu kumbe hujui kuwa MERRY BROWN wako pale ENGEN ilipokuwa BARCELOS zamani?
Mkuu Safari, Thanks, that is news to me!. Barcelos kwangu ilikuwa ni zile burgers zao tuu, tangu ujenzi wa barabara ulipoanza, hata Mbuzi ya Nguruko imenipita kushoto, hivyo sijakanyaga Engen kipindi, kumbe wametusogezea Merry Brown kutoka Mlimani City!, ili mimi kiukweli mikuku yao ilinishindaga siku nyingi, all and all Dar inazidi kuwa kama ulaya, KFC imetua Mikocheni na pale town, soon bongo tutajikuta watoto wetu ni full manyama uzembe!.
Mungu Saidia!.
Pasco
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom