Kila mtu sasa anautaka ubunge kwasababu ya maslahi binafs, for real wema hawez kuwa kiongoz kwa level hiyo ye na aendelee kuigiza na kugombania mabwana na kajala tu! Ila K haiongop inaweza kumpa ubunge akiigawa kwa vibopa kama kawaida yake
For real maelezo yko ni finyu kiasi cha mtu kushindwa kukupa exactly cost ya huo mjengo wako labda ungesema mahali ulipo, finishing ya hiyo nyumba na ufafanuz zaidi, lakn kwa ujumla km unataka iwe bora na ya kuvutia km materials yanapatkana kirahc andaa at least 25ml ila ya kawaida tu hata 12ml...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.