Kituko: Waziri Mkuu Luxembourg afunga ndoa ya jinsia moja

Kituko: Waziri Mkuu Luxembourg afunga ndoa ya jinsia moja

Duh! Hata mzee Ban Ki Moon nae anasapot huu uvundo nasikia, cjui na yeye wanampumulia! Yan ni shida tupu afu ukiwauliza wanasema ni 'Human rights'
 
acheni unafiki hasa nyie ndugu zetu wakristo ni kawaida yenu histoshe huwo ujinga umefanyika kanisani
 
Cha kushangaza ndoa imefungwa Kanisani daa!!
 
Mtawakubali wazungu na mambo yao yote? HAPANA ikiwezxekana tufunge mipaka uchumi kisiwe kigezo cha kuharibu jamii ambayo ndo eti inakusudiwa kunufaika na uchumi huo.
 
Hivi Kwanini MAKANISA yana PROMOTE HIZI NDOA ZA MASHOGA?
Kwanini Wakristo wanakaa kimya Dunia mzima wala mushipa ya Utu haiwashtuki?

Dah!
 
Vp kanisa halijaridhia? maana hawa wenzetu kwa hayo mambo hawajambo.
 
Back
Top Bottom