Recent content by Mavindozii

  1. Mavindozii

    Naomba kufahamu uimara na shida za Suzuki Swift

    Asante sana mkuu Kanyegelo , ubarikiwe sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri mkuu ,
  2. Mavindozii

    Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Hivi si Wana undugu na GSM family?
  3. Mavindozii

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Hupatikani kwa simu mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  4. Mavindozii

    Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

    Wangemuua Putin ningefurahi sana sana , Ningeenda kule kitambaa Cheupe kukesha nikiwa nakunywa jägermeister
  5. Mavindozii

    Bei za dawa za mitishamba zaidi kupaa.

    Hello Wana JF, naomba kuuliza kwa nini hizi bei za mitishamba bei zake ni kuanzia 150,000 kuendelea ? Kule Facebook ukiingia huko utakuta kuna matangazo mengi sana kuhusu dawa za kienyeji na bei zake zinatisha wakuu , nilichojifunza watoa dawa wengi wa dawa za kienyeji ni matapeli wa kutupwa ...
  6. Mavindozii

    Baadhi ya Dawa za mitishamba ni hatari

    Asante sana mkuu, kidogo tuu ungekuta maua yameshaanza kunyauka kaburini
  7. Mavindozii

    Baadhi ya Dawa za mitishamba ni hatari

    Thanks very much sweetie heart
  8. Mavindozii

    Baadhi ya Dawa za mitishamba ni hatari

    Ni walewale wapigaji , na dawa zenu za Malaki ya mapesa ,
  9. Mavindozii

    Baadhi ya Dawa za mitishamba ni hatari

    Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha...
  10. Mavindozii

    Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kuna tibabu mmoja hapa ARUSHA ameniambia anatibu Kisukari kwa nusu milioni , maanina zake , matapeli hawa watu ,
  11. Mavindozii

    Vidonda vya tumbo mpaka kooni

    Bei ya dawa milioni ngapi mkuu
  12. Mavindozii

    Nashindwa kudhibiti kisukari licha ya kutumia dawa na kufuata masharti

    Hamna gani ya Kisukari mkuu, iwe ya kienyeji au za hospitals,mbaya zaidi ni za kienyeji zinaharibu FIGO zetu , usikae unywe mitishamba ni sumu kabisa , zinauwa FIGO mkuu
  13. Mavindozii

    Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

    Hamna ukimwi mkuu , hayo ni magonjwa ya kizamani , meat by meat
Back
Top Bottom