Naomba kufahamu uimara na shida za Suzuki Swift

Feb 12, 2020
21
25
Habari za asubuhi wadau, nimeona sehemu hii gari "SUZUKI SWIFT" INAUZWA

Naomba kufahamu uimara wake na shida zake hii gari kabla sijafanya maamuzi. Na ambatanisha na Picha.

Natanguliza Shukrani.
FB_IMG_1590561357219.jpg

Mjukuu wa Mzee Hemedi
 
Gari hii inakuja na machaguo mawili ya injini injini moja ni 1.2L na injini ya pili ni 1.6 L injini zote hizi mbili zimeundwa kwa technolojia ya juu zaidi huku ikiusisha technolojia ya DOH VVT ,ambayo teknolojia suzuki imekuwa ikifanya vizuir sana huku toyota naye akijitaidi kukopi na kujikuta magari yakiwa na hitlafu na kubagua mafuta ....wakati suzuki katika mfumo wa DOH vvt ni mzuri ambao injini haibagui mafuata na injini huchoma mafuta ...kwa kiwango kidogo sana

Transmition ya gari hili ni manual na automatic inategemea wewe utapenda ipi huku automatic ikiwa na 4 speed , na manual ikiwa na na 6; speed na hivyo kulifanya likidhi mahitaji kwa watu wengi

Huku likiwa na 2wd mfumo unaofanya tairi za mbele kusukumwa naninjini na jingineblikiwa na 4wd tairi zote zikisukumwa na injininhivyo kulifanya kuwa na nguvu mara dufu katika uterezi milima na barabara ambazo zenye uterz sana

Gari hili linakuja na grade tatu ambazo ni
*Sukuzi swift xG
*Suzuki swift xl
*Suzuki swift xs

Gari hili linakuja na technologiabya key lles, cruise control nadhani matumizi yake tulishajifunza sitaki kuielezea sana cruize control ,air bag, electronic stability CD MEDIA player

Utumiaji wa mafuta wa gari hili ukoje?

* Suzukinswift ile yenye cc 1200 injini inayotumia 2wd inatumia lita 1 kwa kilo mita 23

Na ile ya cc 1200 huku tairi zote zikisukumwa na injini yaani 4WD Inatumia mafuta lita 1 kwa km 20

...,huu ni utumiaji mzuri sana wa mafuta ....huwez ukalinganisha na gari za toyota labda zile za hybrid kama. Toyota puric (c) lkn katika gari hili ni mkombozi sana kwa watu wenye kipato kidogo na wale wenye ndoto za kuitumia katika uber

Na injini ya 1.6l ile ya cc 1600 inatumia km 16 kwa lita 1

ya mafuta gari hii imeleta mapinduzi makubwa katika soko la magari

Tank la gari hili ni lita 42

GROUND CLEARENCE
Uvungu wa gari hili ni 5.5 hivyo kuifanya iwe chini kidogo na kutoweza kupita kwa baadhi ya njia za hapa kwetu tz ...maana barabara nyingi za tanzania zinahitaajigari lenye 6.5 inch ili kuwa na muinuko mkubwa kwa watu wenye barabara mbovu gari hili sio rafiki sanan

Stability ya gari hili

*injini ya gari hili ile ya cc 1200 ni nzito kidogo katika kuchanganya mwendo hivyo inahitajinuwe na uvumilivu uwapo barabarani

*Injini ya 1.6 ni injini nzuri na ni nyepesi sana katika kuchanganya.

Je gari hili linatunzwaje? Unashauriwa ukifikisha km 10,000 kufanya mambo yafatayo ili gari lizidi kudumu

*safisha AIR CLEANER
*Safisha oil filter
*Badili engine oil

Likifikisha km 15,000 hakikisha unafanya yafatayo

*Air claeaner

*ATF Filter
*Plug
*Front brake pad
*Engine kuikagua

Vipi kuhusu vipuli vya gari kwa sasa vipo madukani vingi vimejaa hakuna hofu tena

Changamoto za gari hili

Watengenezaji wa magari wengi huwa hawazingatii zaidi hali ya hewa na mazingira ya afrika hivyo hatabkwa toyota swift kuna baadhi wameripot kuwa gear box hasa za aut kusumbua lkn uchunguzi unaonyesha. Kuwa matatizo hayo yanasababishwa na kutolitunza gari vyema

Kwa hayoachache madhani yatakusaidia

sent from HUAWEI
 
Gari hii inakuja na machaguo mawili ya injini injini moja ni 1.2L na injini ya pili ni 1.6 L injini zote hizi mbili zimeundwa kwa technolojia ya juu zaidi huku ikiusisha technolojia ya DOH VVT ,ambayo teknolojia suzuki imekuwa ikifanya vizuir sana huku toyota naye akijitaidi kukopi na kujikuta magari yakiwa na hitlafu na kubagua mafuta ....wakati suzuki katika mfumo wa DOH vvt ni mzuri ambao injini haibagui mafuata na injini huchoma mafuta ...kwa kiwango kidogo sana...
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri, ubarikiwe

Mjukuu wa Mzee Hemedi
 
Habari za asubuhi wadau, nimeona sehemu hii gari "SUZUKI SWIFT" INAUZWA

Naomba kufahamu uimara wake na shida zake hii gari kabla sijafanya maamuzi. Na ambatanisha na Picha.

Natanguliza Shukrani. View attachment 1460536

Mjukuu wa Mzee Hemedi
Nina gari kama hiyo ila yenyewe ni rangi nyeupe. Ina engine M13A yenye ujazo cc 1320.
Inatumia mafuta vizuri sana. Haisumbui kama we ni mtunzaji mzuri.

Iko juu kwa hiyo haisumbui kugonga chini kwenye vibonde vidogo na vishimo. Nmesafiri nayo kama kilometa 800 nikapumzika mara 2 haikuchemsha kabisa. Gari hii ni nzuri sana. Kagua mzigo uchukue hio chuma, hutajuta. Langu limetimiza miaka 10 toka linunuliwe.
 
Ahsante sana mkuu
 
Gari hii inakuja na machaguo mawili ya injini injini moja ni 1.2L na injini ya pili ni 1.6 L injini zote hizi mbili zimeundwa kwa technolojia ya juu zaidi huku ikiusisha technolojia ya DOH VVT ,ambayo teknolojia suzuki imekuwa ikifanya vizuir sana huku toyota naye akijitaidi kukopi na kujikuta magari yakiwa na hitlafu na kubagua mafuta ....wakati suzuki katika mfumo wa DOH vvt ni mzuri ambao injini haibagui mafuata na injini huchoma mafuta ...kwa kiwango kidogo sana

Transmition ya gari hili ni manual na automatic inategemea wewe utapenda ipi huku automatic ikiwa na 4 speed , na manual ikiwa na na 6; speed na hivyo kulifanya likidhi mahitaji kwa watu wengi

Huku likiwa na 2wd mfumo unaofanya tairi za mbele kusukumwa naninjini na jingineblikiwa na 4wd tairi zote zikisukumwa na injininhivyo kulifanya kuwa na nguvu mara dufu katika uterezi milima na barabara ambazo zenye uterz sana

Gari hili linakuja na grade tatu ambazo ni
*Sukuzi swift xG
*Suzuki swift xl
*Suzuki swift xs

Gari hili linakuja na technologiabya key lles, cruise control nadhani matumizi yake tulishajifunza sitaki kuielezea sana cruize control ,air bag, electronic stability CD MEDIA player

Utumiaji wa mafuta wa gari hili ukoje?

* Suzukinswift ile yenye cc 1200 injini inayotumia 2wd inatumia lita 1 kwa kilo mita 23

Na ile ya cc 1200 huku tairi zote zikisukumwa na injini yaani 4WD Inatumia mafuta lita 1 kwa km 20

...,huu ni utumiaji mzuri sana wa mafuta ....huwez ukalinganisha na gari za toyota labda zile za hybrid kama. Toyota puric (c) lkn katika gari hili ni mkombozi sana kwa watu wenye kipato kidogo na wale wenye ndoto za kuitumia katika uber

Na injini ya 1.6l ile ya cc 1600 inatumia km 16 kwa lita 1

ya mafuta gari hii imeleta mapinduzi makubwa katika soko la magari

Tank la gari hili ni lita 42

GROUND CLEARENCE
Uvungu wa gari hili ni 5.5 hivyo kuifanya iwe chini kidogo na kutoweza kupita kwa baadhi ya njia za hapa kwetu tz ...maana barabara nyingi za tanzania zinahitaajigari lenye 6.5 inch ili kuwa na muinuko mkubwa kwa watu wenye barabara mbovu gari hili sio rafiki sanan

Stability ya gari hili

*injini ya gari hili ile ya cc 1200 ni nzito kidogo katika kuchanganya mwendo hivyo inahitajinuwe na uvumilivu uwapo barabarani

*Injini ya 1.6 ni injini nzuri na ni nyepesi sana katika kuchanganya.

Je gari hili linatunzwaje? Unashauriwa ukifikisha km 10,000 kufanya mambo yafatayo ili gari lizidi kudumu

*safisha AIR CLEANER
*Safisha oil filter
*Badili engine oil

Likifikisha km 15,000 hakikisha unafanya yafatayo

*Air claeaner

*ATF Filter
*Plug
*Front brake pad
*Engine kuikagua

Vipi kuhusu vipuli vya gari kwa sasa vipo madukani vingi vimejaa hakuna hofu tena

Changamoto za gari hili
Watengenezaji wa magari wengi huwa hawazingatii zaidi hali ya hewa na mazingira ya afrika hivyo hatabkwa toyota swift kuna baadhi wameripot kuwa gear box hasa za aut kusumbua lkn uchunguzi unaonyesha. Kuwa matatizo hayo yanasababishwa na kutolitunza gari vyema

Kwa hayoachache madhani yatakusaidia

sent from HUAWEI
Asante mkuu
 
Kuna Swift Hybrid za mwaka 2016 kuja juu. Kuna siku nitafanya maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom