Huyu naona anashangilia... shame on you!!!! we mwenzako amelazwa, yu mahututi, unatuletea habari za ndani za maisha yake.... itusaidie nini sisi??? Kila mtu ana shida zake hata wewe una zako..... so acha unafiki, fanya kazi!! Bora hata yeye alithubutu ku invest... wewe kazi kupika majungu!
Kwa kweli IPP wanaboa, na nipo tempeted kusema kwamba tatizo la tovuti yao ni deliberately, maana haiwezekani karibu mwezi mzima wasigundue tatizo. Na kama lengo leongo ni ku wa discourage watu wasisome magazeti yao mtandaoni, ni vema basi wakaiondoa kabisa. Otherwise to me, mbali na kusoma...
Mimi ni mteja wa CRDB huu ni mwaka wa tatu, muda mwingi sana nimekuwa nje ya nje, ila katika vipindi vyote ambavyo nimekaa Tz, hakuna siku hata moja ambayo card yangu ya visa ya CRDB imefanya kazi. Kila nikienda bank aidha niambiwe card imekosewa nipewe nyingine. Nikapewa nyingine, tatizo likawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.